Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,674 Reaction score 131,857 Jun 5, 2026 #21 BabuMkubwa said: Serikali mbili kuungana halafu kuwepo na Serikali mbili ngumu kuelewa Click to expand... Muungano usio na unafiki ndani yake ni ule wa serikali moja, au tatu! Full stop. Huu muungano wa serikali mbili ni utapeli mtupu.
BabuMkubwa said: Serikali mbili kuungana halafu kuwepo na Serikali mbili ngumu kuelewa Click to expand... Muungano usio na unafiki ndani yake ni ule wa serikali moja, au tatu! Full stop. Huu muungano wa serikali mbili ni utapeli mtupu.
YASIYOSEMWA Member Joined Jun 1, 2026 Posts 68 Reaction score 149 Jun 10, 2026 Thread starter #22 Matibabu Zanzibar marufuku kwa asiye mzanzibari
YASIYOSEMWA Member Joined Jun 1, 2026 Posts 68 Reaction score 149 Jun 11, 2026 Thread starter #23 Hii iliandikwa kabla YA mijadala YA mkunyaaa na mwenzake