YASIYOSEMWA
Member
- Jun 1, 2026
- 68
- 149
Mimi nataka muungano ufe keshoNikifuatilia mijadala Mingi mitandaoni na kwenye vijiwe mbalimbali kumeanza kuwa na hisia Kali Sana za uzawa..tukianza na ukanda ni majuzi tu bungeni tuliona namna wabunge wa kusini walivyo kuwa wakali kuhusu Barabara Yao YA kusini.
Lakini pia watu huona fahari kutamba na kijinasibisha na ukanda,Hii haishitui Sana...
Inayoshitua Ni hii ya Hisia uzanzibari na utanganyika...
Hebu tujadili nje ya muungano..
1.Feisal atakua mchezaji wa kigeni?
2.Bakhresa atakuwa mwekezaji wa kigeni...?
3.wapemba na wakojani watakuwa raia wa kigeni watatakiwa kuwa na passport
4.Mchele toka mbeya utauzwa Kwa Bei tofauti n.k
5.Walionunua ardhi Bara na kujenga watakua Raia wa kigeni hivyo umiliki wa ardhi utapotea automatically n.k
Kwa hali ya sasa ni wazanzibari ndio wanafosi maana wangeweza kuuvunja saa hii ila unaona wanavyofosi kuishi na kuingilia na kuingia katika mamlaka na taasisi zetu.Hivi huu muungano nani ana utaka
Kati ya zanzibar na tanganyika
Kwa nini mkuu?Mimi nataka muungano ufe kesho
Nje ya Muungano hakuna CCM na Tanganyika itafanikiwa sanaKwa nini mkuu?
Wana nufaika nao si ndio maana yake sasa acha tuone mwisho ni lini hii ndoa itakufa kifo cha mendeKwa hali ya sasa ni wazanzibari ndio wanafosi maana wangeweza kuuvunja saa hii ila unaona wanavyofosi kuishi na kuingilia na kuingia katika mamlaka na taasisi zetu.
Raisi akitoka Tanganyika wazanzibar hawautaki muungano , raisi akitoka Zanzibar Watanganyika hawautaki muungano.Hivi huu muungano nani ana utaka
Kati ya zanzibar na tanganyika
Tukuulize wewe labda majibu unayoHivi huu muungano nani ana utaka
Kati ya zanzibar na tanganyika
Basi uvunjwe tu inaonekana umekaa kinafki sanaRaisi akitoka Tanganyika wazanzibar hawautaki muungano , raisi akitoka Zanzibar Watanganyika hawautaki muungano.
Uvunjwe uliuanzisha wewe binti wa afu 2 na 5?Basi uvunjwe tu inaonekana umekaa kinafki sana
Sijajua mkuu ,Watajua wenyewe.Basi uvunjwe tu inaonekana umekaa kinafki sana
Noma mzeeSijajua mkuu ,Watajua wenyewe.
Kwa uliyoyataja hapo juu Tanganyika inanyonya au inanyonywaNikifuatilia mijadala Mingi mitandaoni na kwenye vijiwe mbalimbali kumeanza kuwa na hisia Kali Sana za uzawa..tukianza na ukanda ni majuzi tu bungeni tuliona namna wabunge wa kusini walivyo kuwa wakali kuhusu Barabara Yao YA kusini.
Lakini pia watu huona fahari kutamba na kijinasibisha na ukanda,Hii haishitui Sana...
Inayoshitua Ni hii ya Hisia uzanzibari na utanganyika...
Hebu tujadili nje ya muungano..
1.Feisal atakua mchezaji wa kigeni?
2.Bakhresa atakuwa mwekezaji wa kigeni...?
3.wapemba na wakojani watakuwa raia wa kigeni watatakiwa kuwa na passport
4.Mchele toka mbeya utauzwa Kwa Bei tofauti n.k
5.Walionunua ardhi Bara na kujenga watakua Raia wa kigeni hivyo umiliki wa ardhi utapotea automatically n.k
Mtanganyika hamiliki ardhi zanzibarKwa uliyoyataja hapo juu Tanganyika inanyonya au inanyonywa
Sahihi kabisa. Na uzalendo kwa Watanganyika utarejea kama ilivyo kwa Wazanzibari.Nje ya Muungano hakuna CCM na Tanganyika itafanikiwa sana