Vizuri!.Admissionletter umejaribu kutuelimisha na kutupa picha pana ya hiyo referendum.Tuelimishane kidogo, hakuna njama za kuimega Sudan. Referrendum ni utekelezaji wa kipengele muhimu cha Mkataba wa amani wa Sudan (CPA) uliofikiwa 2005. Mkataba huu ulikuwa ni ushindi mkubwa kwa wasudan na jumuiYa ya kimataifa kwani ulimaliza vita iliyodumu kwa zaidi ya miaka 30 (1956-1972) na (1983-2005) na kusababisha vifo vwa watu wapatao milioni mbili!! Wakati mkataba huu unafikiwa hii vita ilikuwa "chronic" na jina na John Garang lilikuwa "never miss" kwenye BBC. Katika Mkataba wa CPA, kulikuwa na kipengele kwamba ndani ya Miaka mitano baada ya kusainiwa mkataba kama serikali ya Sudan ikishidwa kufanya muungano uwe kuvutio ("to make unity attractive") kwa watu wa Southern Sudan, basi watu wa Southern Sudan watakuwa na haki ya kuamua hatma yao kwa kupitia Referrendum. Mpaka sasa serikali ya Sudan haijafanya chochote (tangu 2005) kuwaridhisha watu wa Southern Sudan wakubali "unity," kwa hiyo watatumia haki (chini ya CPA na "Referrendum Law" iliyopitishwa kutekeleza CPA) kupiga kura ku-"separate." Kwa hiyo hizi si njama. Ni wasudan wenye wameamua na bunge limeridhia kwa kupitisha sheria ya "Referrendum." Lingine la kufahamu ni kwamba wananchi wa Southern Sudan wamepoteza kabisa imani ("trust") na Serikali kwani wamenyanyaswa kwa muda mrefu. Hivi majuzi Riek Machar, Makamu wa rais wa Serikali ya Southern Sudan aliulizwa msimamo wake kuhusu "Referremdum" akasema kwa hali ilivyo sasa, hata kama Serikali ya Sudan ikifanya maendeleo ya haraka haraka na kuindeleza Juba (mji Mkuu wa nchi mpya ya Southern Sudan) kabla ya Rererendum na kufanana na Dubai, yeye hatapigia kura kuunga "unity" sababu haiamini serikali ya Sudan!!
Kibona mchango wako umejaa ujinga na ubaguzi.
Wakati unatetea maendeleo na hadhi ya mwafrika unasahau kuwa wasudan wote ni waafrika.Ujinga wako upo pale unapomwambia John:
"Halafu rafiki yangu John usikubali kusaliti uafrika wako kwa sababu ya hisia za kidini...."
Umesema wewe umekaa na unaijuwa Sudan.Naomba tufahamishe na utuoneshe waarabu wa Sudan wamekaaje na wanakaa wapi.Papo hapo tuoneshe wanapokaa waafrika wengine wasiokuwa waarabu.Baada ya hapo huenda tutaelewana kwenye huu mjadala.
Kwenye hisia zako nimegundua umeathirika sana na mawazo ya kibaguzi yanayosimamiwa na kanisa.Hili wamelifanya kwa mafanikio makubwa Tanzania na sasa ndio kanisa linavuna kwa kutoa wahitimu wa mawazo ya kibaguzi kama wewe.
Angalia kusini mwa TZ, Waislamu wamenyimwa haki zao zote kwa sababu ya Udini wa Nyerere. Kama Sudan wakigawana nchi, inabidi hii movement ije TZ, ili tugawane nchi. Waislamu wa TZ wamechoka kuwa nyuma kimaendeleo.
Vizuri!.Admissionletter umejaribu kutuelimisha na kutupa picha pana ya hiyo referendum.
Pamoja na hivyo suala la kuwepo njama halikwepeki.Hii kwamba bunge limepitisha sheria ya referendum haina maana kuwa wamefanya kwa kupenda.
Nchi za magharibi ni hatari sana katika njama na mashinikizo.Nchi nyingi za hulazimishwa kufanya vitu wasivyovipenda baada ya kuona hawana pa kutokea.Wamezungukwa na vitisho makamio ya kila namna mengine hupitishiwa kwenye umoja wa mataifa,moja ya chombo chao cha kushinikiza matakwa yao.Mfano mmojawapo angalia Tanzania ilivyolazimika kuingia kwenye vyama vingi pamoja na kwamba kura ya maoni ilionesha kuukataa mfumo huo.
Nina uhakika Sudan haipendelei kujitenga na ndugu zao wa kusini lakini walilazimika kubadili taratibu na katiba yao ili kujipunguzia bughdha zinazoongozwa na Marekani.
Huyu Riek Machar na Salva Kiir wala si watu wa kutilia maanani maneno yao,ni watu ambao hawako huru katika kufikiri kwao.Wamewekwa mbele ili malengo ya nchi za magharibi yatimie ,baada ya hapo watatupwa nje kwa mbinu mbali mbali.Tulikuwa nao wengi kule Mazar Sharif kaskazini ya Afghanistan.

Stupid morons can not hide on their shells forever..he he he..
Atazunguuka weee, mara sijui kujitenga Sudan sijui waafrika na waarabu, lakini kama nilivosema mwanzo, hoja kuu ya huyu al Qaeda, AMI , ni usilamu. Hana agenda nyengine.
BTW, labda utuambie uwongo wa Ayaan Hirsi dhidi ya Uislam ni upi? Kuvunja kwake serikali(kama ulivosema) kulihusika vipi na uwongo wake dhidi ya Usilamu? Last time I checked, serikali ilivunjika kwa sababu ya forgery alizofanya wakati wa kuomba hifadhi ya ukimbizi, na sio vinginevyo.
Ami hapo umepotea kaka. Naomba nikuambie kuwa hisia za udini alizonazo John10 hazifichiki hasa ktk posts anazoandika. Hata hivyo kosa linalofanywa na John10 pamoja na wewe ni kuwa kila anayepingana na waarabu mnadhani sio muislamu ila ni mkristu. Lakini hiyo sio kweli na kukuhakikishia tu ni kuwa tofauti na unavyosema mimi naamini katika urastafari japo wengi hawawezi kukubali kuwa urastafari nayo ni dini. Na kuthibitisha kuwa wewe unakosea ni kuwa mimi ninapowachukia waarabu wa sudan siwachukii waarabu wengine walioko Saudi Arabia, Misri, Syria nakadhalika hivyo mimi sina ushabiki wowote wa dini ya kikristu isipokuwa naguswa na kinachofanywa na waarabu wa sudan dhidi ya waafrika wenzangu, na ninapoona mtu anawatetea waarabu wa sudan kwa sababu tu yeye anaangalia undugu wake na waarabu kwa misingi ya kidini lazima niseme.
Kuhusu waarabu wanakaa wapi huko sudan naomba nikujibu kama ifuatavyo, Sijazunguka sudan nzima ili nikupe mipaka ya kijiografia ya wanamoishi waarabu ila ungeniuliza nilifika mji gani huko sudan ningekujibu. Lakini hata hivyo kama wewe umefika sudan utakuwa unaijua tofauti ya waarabu wa sudan na waafrika, kama hujafika basi angalia vizuri picha Al Bashir, Othman Taha au Mo Ibrahim wa Celtel halafu linganisha na picha ya Marehemu John Garang, Salva Kiir Mayardit au Adam Kwaje utaona tofauti ya mwarabu wa sudan na mwafrika wa sudan.
Najua wewe unadhani tunaposema waarabu basi ni kama wale wa misri, Libya,
orocco au Jordan, unatakiwa ujue kuwa waarabu wa sudan wamefifia sio sawa na wale wa mashariki ya kati ndo maana mwana JF mmoja amewaita waarabu koko. Ntashangaa kama bado huioni tofauti kati yao wakati unaweza hata kujua tofauti kati ya mchagga na mnyakyusa, au mpemba na muunguja.
Ni mpumbavu pekee ndiye anayeweza kumwelewa John 10. Kwa nini Nyerere asiwabague waislamu wa magharibi mashariki na kasikazini ya TANZANIA??
Maamuma mnatuchafulia hewa hapa JF. Hapa ni Home of Great Thinkers!!!!
Vizuri!.Admissionletter umejaribu kutuelimisha na kutupa picha pana ya hiyo referendum.
Pamoja na hivyo suala la kuwepo njama halikwepeki.Hii kwamba bunge limepitisha sheria ya referendum haina maana kuwa wamefanya kwa kupenda.
Nchi za magharibi ni hatari sana katika njama na mashinikizo.Nchi nyingi za hulazimishwa kufanya vitu wasivyovipenda baada ya kuona hawana pa kutokea.Wamezungukwa na vitisho makamio ya kila namna mengine hupitishiwa kwenye umoja wa mataifa,moja ya chombo chao cha kushinikiza matakwa yao.Mfano mmojawapo angalia Tanzania ilivyolazimika kuingia kwenye vyama vingi pamoja na kwamba kura ya maoni ilionesha kuukataa mfumo huo.
Nina uhakika Sudan haipendelei kujitenga na ndugu zao wa kusini lakini walilazimika kubadili taratibu na katiba yao ili kujipunguzia bughdha zinazoongozwa na Marekani.
Huyu Riek Machar na Salva Kiir wala si watu wa kutilia maanani maneno yao,ni watu ambao hawako huru katika kufikiri kwao.Wamewekwa mbele ili malengo ya nchi za magharibi yatimie ,baada ya hapo watatupwa nje kwa mbinu mbali mbali.Tulikuwa nao wengi kule Mazar Sharif kaskazini ya Afghanistan.
Nafikiri hapa tunajaribu kumtafuta mchawi lakini ukweli huko wazi na mataifa ya magharibi hayawezi kulaumiwa kwa kinachoendelea. Ni mataifa ya magharibi hayo hayo unayoyalaumu hapa yaliweza kusuluhisha mgogoro uliodumu kwa miaka 22 na sharti mojawapo la Garang ilikuwa ni kwamba baada ya miaka 5 ipigwe kura ya maoni ili kuamua kama kusini wajitenge au waendelee kuwa pamoja na serikali ya Khartoum. Hilo lilikuwa ni sharti ambalo pande zote mbili zilikubaliana nalo. Sioni kwa nini nchi za magharibi zinalaumiwa hapa!!!!
Tiba
huwezi ku argue na watu wenye siasa kali better keep ur mouth shut:hungry:Ndugu yangu Matatizo ya maendeleo ya waislamu wa Tanzania ni ya kihistoria Tanzania na sio suala la kumlaumu nyerere wala kiongozi yoyote,
Waarabu ndio walikuwa wageni wa kwanza kufika East Africa (Kilwa), lakini hakuna hata shule moja waliyojenga zaidi ya kutuachia Makaburi tu, Suala la Elimu kwa Muislamu lilikuwa sio kitu raisi hata kidogo kukikubali
Mimi nimesoma hapa Dar kwenye miaka ya 80s, nakwambia ukweli darasa lilikuwa linajaa wakristo tu, Waislamu wakija siku mbili siku tatu wako chuo, walimu wanatuambia tukawatoe chuo kinguvu waje shule na inakuwa ni mbinde kuwatoa maustadhi wanaweka kei na shule kwamba tunataka kuwapoteza watoto wao,
NDugu Nyerere kwa kulijua hilo halizitaifisha shule zote za misheni na kuzifanya za serikali ili kila mtu hata muislamu aende shule na waislamu wengi (Lipumba, JK, Kagasheki, Kalamagi, Kaborou, Kapuya nk) walipita kwenye hizo shule zilizokuwa za misheni
Kumsema nyerere ni kumuonea tu alijitahidi sana kuwainua Waislamu wa Tanzania, lakini tatizo kubwa lilikuwa uelewa mdogo na kuchukulia dini kuwa ndio msingi wa maisha bila kisomo cha kidunia
Unapotosha Historia. Waarabu walikuwa middlemen, kama vile Wafrika wenyewe walivyokuwa wanawauza wenzao kwa Wazungu wakati huo wa utumwa. Slavery walikuwa wanakwenda ktk nchi za Wazungu kupitia Arab Peninsula, na trial angle. Nchi kubwa iliyofanya haya mambo ya Utumwa ilikuwa Uingereza, North American, na Europe.Ami whats wrong with you, history, facts hutaki, unasema zimeandikwa na wazungu, tupe basi zako ambazo zimeandikwa na waarabu, kumbuka kwamba nchi za magahribi ndo pekee zilizo ruhusu watu weusi(watumwa) kuendelea kuwepo huko baada ya utumwa , lakini nchi za kiarabu hawakutaka kabisa badala yake wanume weusi walihasiwa kama mbuzi ili wasizae na wanawake wa kiarabu, wa kwa sababu wao ni LAABID, leo unathubutu kusema watumwa (mateka) wanakuwa treated fairly na waarabu, unakumbuka akina tip tip thats typical arabs, hata zanzibar wakitaka nchi yao acha waondoke, kumbuka nyerere alitaifisha shule za wakristo, leo ungekuwa wapi ww, FYI angalia results za form 4 form 6 ratio ya performance wakristo- waislamu utapata majibu yote sorry umeufanya mjadala kuwa wa kidini, bila shule za kikristo lipumba kikwete ungewasikia madrasa kama alivyo sheik yahaya:bump:
Mawazo yako ni utata mtupu,kila yatakavyoendekezwa ndio dunia itakuwa mbaya zaidi.Ni kweli actually hii hoja ya kulaumu mataifa ya magharibi kwa referrendum ya Sudan ni mara ya kwanza naiona, na ni hapa JF. Ndio maana nahisi uelewa wa aliyeanzisha hii hoja kuhusu kinachoendelea Sudan ni mdogo au amesona mahali paliposababisha awe mis led. La mwisho kwa mtoa hoja ni kwamba akae mkao wa kula kwa sababu Darfur nayo iko njiani kwani wana madai hayo hayo ya self determination, kwa kutengwa kiuchumi. Suala la dini halipo Darfur sababu darfur wengi ni waislamu. Sudan ni nchi iliyo fail kushirilisha makundi mbali mbali (ya wakristu na waislamu) kweye kula keki ya nchi na sasa ndio wanavuna price yale!
Hizi habari za biashara ya utumwa zimejibiwa vya kutosha.Hata hivyo kila wale ambao ndio kwanza wamehitimu propaganda za kanisa na kuingia mitaani wanapokuja huwa hatuchoki kuwakumbusha kuwa biashara ya utumwa hasa ni ya Wazungu.Ukristo ndio uliotumika kuiendesha biashara hiyo.Ami whats wrong with you, history, facts hutaki, unasema zimeandikwa na wazungu, tupe basi zako ambazo zimeandikwa na waarabu, kumbuka kwamba nchi za magahribi ndo pekee zilizo ruhusu watu weusi(watumwa) kuendelea kuwepo huko baada ya utumwa , lakini nchi za kiarabu hawakutaka kabisa badala yake wanume weusi walihasiwa kama mbuzi ili wasizae na wanawake wa kiarabu, wa kwa sababu wao ni LAABID, leo unathubutu kusema watumwa (mateka) wanakuwa treated fairly na waarabu, unakumbuka akina tip tip thats typical arabs, hata zanzibar wakitaka nchi yao acha waondoke, kumbuka nyerere alitaifisha shule za wakristo, leo ungekuwa wapi ww, FYI angalia results za form 4 form 6 ratio ya performance wakristo- waislamu utapata majibu yote sorry umeufanya mjadala kuwa wa kidini, bila shule za kikristo lipumba kikwete ungewasikia madrasa kama alivyo sheik yahaya:bump:
Mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini Sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
Wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko Comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko Sudan.
Baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
Hapo chini ni raisi wa Sudan general Omar Al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya Sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.
Wewe ikiwa umechoka,nenda tu.Mimi bado nipo. Hata hivyo sikubaliani nawe kwa hoja zako nyingi pamoja na kwamba una uelewa kiasi wa masuala ya Sudan.Sitarudi tena kwenye hii thread sababu naona najadiliana na mtu asiyejua siasa za Sudan. Kwa hiyo hapa najibu majibu wako rafiki yangu iliyotoa hapo juu na kutoa hitimisho langu kama ifuatavyo:
- Kwanza umeanzisha thread kwa ku mislead watu. Bashir hajawahi kutumia upanga kutetea umoja wa Sudan sababu hii itakuwa ni kinyume cha mkataba wa amani ambao uliweka hicho kipengele. Mkataba umeweka wazi kwamba ni wa Southern Sudan ndio watakaoamua hatma ya nchi yao si Bashir au Serikali ya umoja ya Sudan. Hicho alichoshika ni upanga ni fimbo
- Huyo aliyekaribu na Bashir kwenye picha mwenye kofia kubwa (pama) ambaye umemwita ni mmoja wa wasaidizi na walinzi wa Bashir ni Salva Kiir Mayadit, Rais wa Serikali ya Southern Sudan na Makamu wa Rais wa Serikali ya umoja ya Sudan. Salva (ambaye akikuwa msaidizi wa John Garang wakati wa mapambano) anajulikana wazi kwamba anatetea Southern Sudan kujitenga. Kwa hiyo haiwezekani Bashir ashike upanga kutetea muungano mbele ya Salva kwa sababu kila mmoja nati yao ana haki ya kuwa na msimamo wake. Muungano wa Sudan hautetewi wa upanga na kama hiyo ikitokea vita itaanza tena
- Kwa sababu kufahamu historia ya Sudan, unatoa mifano ambayo haiendani na Sudan kihistoria. Kwa mfano unafananisha mambo ya Tanzania na Sudan: Tanzania tumepigana vita kwa miaka zaidi ya 30? Tanzania tumewahi kuhusishwa na genocide na crimes against humanity?
- Nimezungumzia sababu ya kutengwa kiuchumi kwa Darfur sababu suala la dini ambalo lilikuwepo kwenye vita na Southern Sudan na Sudan halipo kwenye issue ya Darfur. Wewe unafikiri wa Darfur wanapigania nini kama si kutengwa kiuchumi na kunyanyaswa kwenye nchi yao kama second class citizens?
- Mwisho nakushauri uwe na attitude kwamba unapoanzisha thread si kwamba wewe ndio unajua kila kitu kuhusu hoja uliyoanzisha. Kubali ku accommodate nguvu za hoja za wachangiaji wako ambao wana ujuzi zaidi kuhusu hoja yako ili na wewe ujifunze: Unalinganisha Sudan na siasa za Tanzania ambapo hakuna uwiano, Unasisitiza nchi za magharibi kusimamia ugawaji mali kwa nchi nyingine kitu ambacho si practical sababu Sudan kilishindikana miaka na miaka (Safiri Sudan ufananishe Khartoum na Juba ujue nasema nini), Kura ya maoni ya Sudan haikushinikizwa na na watu wa magharibi nimesema ni sehemu ya mkataba wa amani wa CPA, kutokana na uzoefu wa failure ya mkataba kama huo wa Addis Ababa wa mwaka 1972. Kama referendum isingekuwepo kwenye mkataba wa Southern Sudan wasingekubali wangeendelea kupigana. Upungufu wa mali si sababu pekee ya kujitenga kwa Sudan. Usitegemee majibu yangu tu kukuelimisha kuhusu Sudan. Watu wa Southern Sudan wamepigana toka baada ya uhuru 1956 soma uelewe ni kwa nini
Ami hapo umepotea kaka. Naomba nikuambie kuwa hisia za udini alizonazo John10 hazifichiki hasa ktk posts anazoandika. Hata hivyo kosa linalofanywa na John10 pamoja na wewe ni kuwa kila anayepingana na waarabu mnadhani sio muislamu ila ni mkristu. Lakini hiyo sio kweli na kukuhakikishia tu ni kuwa tofauti na unavyosema mimi naamini katika urastafari japo wengi hawawezi kukubali kuwa urastafari nayo ni dini. Na kuthibitisha kuwa wewe unakosea ni kuwa mimi ninapowachukia waarabu wa sudan siwachukii waarabu wengine walioko Saudi Arabia, Misri, Syria nakadhalika hivyo mimi sina ushabiki wowote wa dini ya kikristu isipokuwa naguswa na kinachofanywa na waarabu wa sudan dhidi ya waafrika wenzangu, na ninapoona mtu anawatetea waarabu wa sudan kwa sababu tu yeye anaangalia undugu wake na waarabu kwa misingi ya kidini lazima niseme.
Kuhusu waarabu wanakaa wapi huko sudan naomba nikujibu kama ifuatavyo, Sijazunguka sudan nzima ili nikupe mipaka ya kijiografia ya wanamoishi waarabu ila ungeniuliza nilifika mji gani huko sudan ningekujibu. Lakini hata hivyo kama wewe umefika sudan utakuwa unaijua tofauti ya waarabu wa sudan na waafrika, kama hujafika basi angalia vizuri picha Al Bashir, Othman Taha au Mo Ibrahim wa Celtel halafu linganisha na picha ya Marehemu John Garang, Salva Kiir Mayardit au Adam Kwaje utaona tofauti ya mwarabu wa sudan na mwafrika wa sudan.
Najua wewe unadhani tunaposema waarabu basi ni kama wale wa misri, Libya,
orocco au Jordan, unatakiwa ujue kuwa waarabu wa sudan wamefifia sio sawa na wale wa mashariki ya kati ndo maana mwana JF mmoja amewaita waarabu koko. Ntashangaa kama bado huioni tofauti kati yao wakati unaweza hata kujua tofauti kati ya mchagga na mnyakyusa, au mpemba na muunguja.
Katika picha hapo chini ni Omduruman maeneo ya Pembeni ya Khartoum kaskazini ya Sudan.
Niambie ni nani mwafrika hapo na ni nani mwarabu.