mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko sudan.
baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
hapo chini ni raisi wa sudan general omar al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.
kaka inaonekana huijui sawa sawa historia na hali halisi ya sudani. Sudani ya kaskazini inawabagua wa sudani kutoka kusini eti sababu sio waarabu na sio waislamu na wanawabagua wa darfur eti sababu sio waarabu ijapokuwa ni waislamu(kichekesho hicho.
Jamaa toka kusini mwa sudani na wa daarfur wako kama second class, na maisha yao kaka yanasikitisha sanaa. Sudani ya kusini kama ulivyosema ambao wakristo wako wengi maisha yao ni ya duni na utajiri kama kusini kuliko kaskazini. Cha ajabu wananyonywa hao wa kusini huwezi amini.
Sasa kama wewe unanyonywa, unabaguliwa eti sababu wewe ni mkristo na unawekwa ktk second class sasa kuna haja ya kuungana na mwenzako ijapo hakuthamini.
Huyo alievaa kofia ya pama na suti ni raisi wa sudani ya kusini na huyo askali mrefu ni bodygurd wake
Mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini Sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
Wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko Comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko Sudan.
Baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
Hapo chini ni raisi wa Sudan general Omar Al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya Sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.

Itagawanywa tu kwa Sababu North wanajaribu ku-ilsamise South.....
kaka inaonekana huijui sawa sawa historia na hali halisi ya sudani. Sudani ya kaskazini inawabagua wa sudani kutoka kusini eti sababu sio waarabu na sio waislamu na wanawabagua wa darfur eti sababu sio waarabu ijapokuwa ni waislamu(kichekesho hicho.
Jamaa toka kusini mwa sudani na wa daarfur wako kama second class, na maisha yao kaka yanasikitisha sanaa. Sudani ya kusini kama ulivyosema ambao wakristo wako wengi maisha yao ni ya duni na utajiri kama kusini kuliko kaskazini. Cha ajabu wananyonywa hao wa kusini huwezi amini.
Sasa kama wewe unanyonywa, unabaguliwa eti sababu wewe ni mkristo na unawekwa ktk second class sasa kuna haja ya kuungana na mwenzako ijapo hakuthamini.
Huyo alievaa kofia ya pama na suti ni raisi wa sudani ya kusini na huyo askali mrefu ni bodygurd wake
Waarabu wamewaua Waafrica wa kusini mwa Sudan amabyo wengi wao ni Wakristu na waabudu dini za asili kwa zaidi ya miaka 22 hivyo hakuna ubaya wakijitenga na uongozi dhalimu wa Khartoum kwani hata Kosovo, Bosnia-Herzegovina walijitenga baada ya waliokuwa wameungana nao kuwafanyia udhalimu. Ni hadi waarabu wajifunze kuishi na Waafrica kama watu wenye haki sawa ndipo Waafrica wataungana nao!
Kama ikiwezakana kuigawa Sudan, basi na sisi TZ inabidi tugawane nchi. Waislam wachukue chao, Wakristo wachukue chao. Maanake Waislamu, wanaonewa TZ.
Nyerere kawafunga Waislamu kibao TZ. Mikoa yote ya kusini haina maendeleo kwa sababu ya Ubaguzi wa Nyerere kwa Waislamu. Kama Sudan wakiweza kujitenga basi mpango maalum uandaliwe ili TZ ijitenge pia. Waislamu wamechoka kuonewa na Wakristo.
Angalia kusini mwa TZ, Waislamu wamenyimwa haki zao zote kwa sababu ya Udini wa Nyerere. Kama Sudan wakigawana nchi, inabidi hii movement ije TZ, ili tugawane nchi. Waislamu wa TZ wamechoka kuwa nyuma kimaendeleo.
wewe hembu acha hayo maneno
wewe huoni jinsi tulivyo jichanganya hapa
familia yangu nusu waislam nusu wakristo..
na mimi najua ni familia nyingi sana hapo TZ wako hivyo
kwa hiyo hembu acha hayo mambo kabisa
na kingine TZ ni mara mia bora kuliko Sudan yaani...
hatausitulinganishe kiachi hicho....
ACHA AKILI MGANDO WEWE
WEWE ENDELEA KUCHEZA BAO UKISUBIRI SEREKALI IKULETEE MAENDELEO, MKAPA ALIKUWA WA KUSINI KWA MIAKA 10 MBONA HAMKUMUAMBIA AWALETEE HAYO MAENDELEO?????????
NDUGU MAENDELEO YANALETWA NA MTU MWENYEWE,,KUSINI MMEKALIA ARDHI YENYE RUTUBA WASUKUMA NA WAMASAI WAMEKUJA HUKO NASUBIRI IN FEW YEARS MTAANZA KUWAONA ADUI,,,,,,,,,,,,,,,Hamuishi kulalama badala ya kujihangaisha,,utajiri mmeukalia mnasuburi mtafuniwe tu poleni saana
Kuna watu humu ndani ya JF hawana Respect na dini za watu wengine. Kwa hiyo, dawa ya moto, ni moto.