Njama za kuimega Sudan

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
6,830
10,360
SEHEMU A
Mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini Sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
Wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko Comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko Sudan.
Baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
Hapo chini ni raisi wa Sudan general Omar Al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya Sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.

SEHEMU B

Kura halisi ya maoni inatarajiwa kufanyika hapo Januari 9;2011 iwapo mipango yote itakwenda kama ilivyopangwa
 
Yeah tusisahau historia, during colonialism walitumia method inayoitwa "DIVIDE AND RULE" na wanataka kufanya hivyo Sudan, daima wazungu wanahatarisha amani ya maeneo wenye interest nayo km viongozi husika hawapo upande wao.
 
Na bado darfur nayo itameguga, waarabu wamezidi ubaguzi
 
mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko sudan.
baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
hapo chini ni raisi wa sudan general omar al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.

kaka inaonekana huijui sawa sawa historia na hali halisi ya sudani. Sudani ya kaskazini inawabagua wa sudani kutoka kusini eti sababu sio waarabu na sio waislamu na wanawabagua wa darfur eti sababu sio waarabu ijapokuwa ni waislamu(kichekesho hicho.
Jamaa toka kusini mwa sudani na wa daarfur wako kama second class, na maisha yao kaka yanasikitisha sanaa. Sudani ya kusini kama ulivyosema ambao wakristo wako wengi maisha yao ni ya duni na utajiri kama kusini kuliko kaskazini. Cha ajabu wananyonywa hao wa kusini huwezi amini.
Sasa kama wewe unanyonywa, unabaguliwa eti sababu wewe ni mkristo na unawekwa ktk second class sasa kuna haja ya kuungana na mwenzako ijapo hakuthamini.

Huyo alievaa kofia ya pama na suti ni raisi wa sudani ya kusini na huyo askali mrefu ni bodygurd wake
 
Hawa wa Kusini wameuzwa sana kama watumwa na Waarabu wa kaskazini mpaka karne hizi za sasa...wacha nci igawanywe....nasikia kusini itaitwa Equatoria
 
Mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini Sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
Wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko Comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko Sudan.
Baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
Hapo chini ni raisi wa Sudan general Omar Al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya Sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.

Waarabu wamewaua Waafrica wa kusini mwa Sudan ambao wengi wao ni Wakristu na waabudu dini za asili kwa zaidi ya miaka 22 hivyo hakuna ubaya wakijitenga na uongozi dhalimu wa Khartoum kwani hata Kosovo, Bosnia-Herzegovina walijitenga baada ya waliokuwa wameungana nao kuwafanyia udhalimu. Ni hadi waarabu wajifunze kuishi na Waafrica kama watu wenye haki sawa ndipo Waafrica wataungana nao!
 
Waarabu koko wa kaskazini na Uislam wao ni wabuguzi wa kutupwa against Christians na Animists wa Souther Sudan na Darfur region.
Hili sio suala la Wazungu,ni Waarabu (koko) na Waafrika dark skinned.

Tukumbuke kipenzi cha Waislamu Osama Bin Laden aliishi Sudan kwa wakati,na sisi mwaka 1998 wakati wa DAR bombing ,mambo yalipikiwa na waarabu wa huko
 
Mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini Sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
Wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko Comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko Sudan.
Baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
Hapo chini ni raisi wa Sudan general Omar Al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya Sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.

WEWE inaelekea Hujui unalolinena hapa

Unaiongelea Sudan Unayojua Historia yake au Unayoisoma kwenye Mtandao na magazeti

Acha UVivu wa kufikiri na ulevi wa DINI

Wananchi wa kusini mwa Sudan Wameonewa na kuwawa kwa zaidi ya miongo mitano sasa,,Hao waarabu unaowatetea hapa waulize wanafafanyia nini WAISLAM WENZAO WEUSI HUKO Darfur??????????????????

Na usidanganye watu hapa kwenye hiyo picha Ni Bashir NA JEN SALVA KIR - RAIS MTEULE WA JAMHURU HURU YA KUSINI MWA SUDAN,,hao waarabu watakula mawe sasa wanmewaonea saana hao wapagani, wakristu, na waislam wa kusini mwa SUDAN
 
kaka inaonekana huijui sawa sawa historia na hali halisi ya sudani. Sudani ya kaskazini inawabagua wa sudani kutoka kusini eti sababu sio waarabu na sio waislamu na wanawabagua wa darfur eti sababu sio waarabu ijapokuwa ni waislamu(kichekesho hicho.
Jamaa toka kusini mwa sudani na wa daarfur wako kama second class, na maisha yao kaka yanasikitisha sanaa. Sudani ya kusini kama ulivyosema ambao wakristo wako wengi maisha yao ni ya duni na utajiri kama kusini kuliko kaskazini. Cha ajabu wananyonywa hao wa kusini huwezi amini.
Sasa kama wewe unanyonywa, unabaguliwa eti sababu wewe ni mkristo na unawekwa ktk second class sasa kuna haja ya kuungana na mwenzako ijapo hakuthamini.

Huyo alievaa kofia ya pama na suti ni raisi wa sudani ya kusini na huyo askali mrefu ni bodygurd wake

Angalia kusini mwa TZ, Waislamu wamenyimwa haki zao zote kwa sababu ya Udini wa Nyerere. Kama Sudan wakigawana nchi, inabidi hii movement ije TZ, ili tugawane nchi. Waislamu wa TZ wamechoka kuwa nyuma kimaendeleo.
 
every country is got problems when come to politics
especially our continent (Africa)

the worse thing is when people mix
Religions and politics...

Hatutafika mbali kabisa kama tukiwa tunafanya hivyo.
 
Waarabu wamewaua Waafrica wa kusini mwa Sudan amabyo wengi wao ni Wakristu na waabudu dini za asili kwa zaidi ya miaka 22 hivyo hakuna ubaya wakijitenga na uongozi dhalimu wa Khartoum kwani hata Kosovo, Bosnia-Herzegovina walijitenga baada ya waliokuwa wameungana nao kuwafanyia udhalimu. Ni hadi waarabu wajifunze kuishi na Waafrica kama watu wenye haki sawa ndipo Waafrica wataungana nao!

Nyerere kawafunga Waislamu kibao TZ. Mikoa yote ya kusini haina maendeleo kwa sababu ya Ubaguzi wa Nyerere kwa Waislamu. Kama Sudan wakiweza kujitenga basi mpango maalum uandaliwe ili TZ ijitenge pia. Waislamu wamechoka kuonewa na Wakristo.
 
Kama ikiwezakana kuigawa Sudan, basi na sisi TZ inabidi tugawane nchi. Waislam wachukue chao, Wakristo wachukue chao. Maanake Waislamu, wanaonewa TZ.

wewe hembu acha hayo maneno
wewe huoni jinsi tulivyo jichanganya hapa
familia yangu nusu waislam nusu wakristo..
na mimi najua ni familia nyingi sana hapo TZ wako hivyo

kwa hiyo hembu acha hayo mambo kabisa
na kingine TZ ni mara mia bora kuliko Sudan yaani...
hatausitulinganishe kiachi hicho....
 
Nyerere kawafunga Waislamu kibao TZ. Mikoa yote ya kusini haina maendeleo kwa sababu ya Ubaguzi wa Nyerere kwa Waislamu. Kama Sudan wakiweza kujitenga basi mpango maalum uandaliwe ili TZ ijitenge pia. Waislamu wamechoka kuonewa na Wakristo.

ACHA AKILI MGANDO WEWE

WEWE ENDELEA KUCHEZA BAO UKISUBIRI SEREKALI IKULETEE MAENDELEO, MKAPA ALIKUWA WA KUSINI KWA MIAKA 10 MBONA HAMKUMUAMBIA AWALETEE HAYO MAENDELEO?????????

NDUGU MAENDELEO YANALETWA NA MTU MWENYEWE,,KUSINI MMEKALIA ARDHI YENYE RUTUBA WASUKUMA NA WAMASAI WAMEKUJA HUKO NASUBIRI IN FEW YEARS MTAANZA KUWAONA ADUI,,,,,,,,,,,,,,,Hamuishi kulalama badala ya kujihangaisha,,utajiri mmeukalia mnasuburi mtafuniwe tu poleni saana
 
Angalia kusini mwa TZ, Waislamu wamenyimwa haki zao zote kwa sababu ya Udini wa Nyerere. Kama Sudan wakigawana nchi, inabidi hii movement ije TZ, ili tugawane nchi. Waislamu wa TZ wamechoka kuwa nyuma kimaendeleo.

Al Qaeda mwingine huyu..
 
wewe hembu acha hayo maneno
wewe huoni jinsi tulivyo jichanganya hapa
familia yangu nusu waislam nusu wakristo..
na mimi najua ni familia nyingi sana hapo TZ wako hivyo

kwa hiyo hembu acha hayo mambo kabisa
na kingine TZ ni mara mia bora kuliko Sudan yaani...
hatausitulinganishe kiachi hicho....

Kuna watu humu ndani ya JF hawana Respect na dini za watu wengine. Kwa hiyo, dawa ya moto, ni moto.
 
ACHA AKILI MGANDO WEWE

WEWE ENDELEA KUCHEZA BAO UKISUBIRI SEREKALI IKULETEE MAENDELEO, MKAPA ALIKUWA WA KUSINI KWA MIAKA 10 MBONA HAMKUMUAMBIA AWALETEE HAYO MAENDELEO?????????

NDUGU MAENDELEO YANALETWA NA MTU MWENYEWE,,KUSINI MMEKALIA ARDHI YENYE RUTUBA WASUKUMA NA WAMASAI WAMEKUJA HUKO NASUBIRI IN FEW YEARS MTAANZA KUWAONA ADUI,,,,,,,,,,,,,,,Hamuishi kulalama badala ya kujihangaisha,,utajiri mmeukalia mnasuburi mtafuniwe tu poleni saana

Sasa mbona mwanzo umesema kwamba Wakristo wa Sudan wanaonewa. Sasa unaona unaleta double standard. One side unasema bora wajitenge, and the other side unasema watu wa kusini mmekalia ardhi. Double Stardand.
 
Kuna watu humu ndani ya JF hawana Respect na dini za watu wengine. Kwa hiyo, dawa ya moto, ni moto.

kwanza sikubaliani na wewe hapo nilopo highlight red....
mimi nafahamu dawa ya moto ni maji na si moto..........
na kingine ningeomba uwaandikie hao wana JF
comments kwenye inbox zao...
kuliko kuja hapa na kutoa maneno makali sana
za kutaka kuwatenganisha waislam na wakristo hapo TZ..
na si mimi tu naamini wengi huku ndani hawakubalia nawe..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom