Sio kweli bob... Waarabu wamekuwepo Tanzania tangu mwaka 900 CE. Walianzisha shule na madrassa za kutosha. Kama Waislam wa Kusini mwa Tanzania hawakusoma hiyo inabidi kufanya utafiti ili kubaini kwa nini. Waislam wa TZ wasichoke bali waende shule na wazingatie masomo. Cha msingi ni kutafiti kwa nini muda wote takribani miaka 1000 Waarabu wamekuwepo hapa Tanzania haikuwasaidia Waislam kusoma hadi waje kuwalaumu Wakristu ambao wamekupo Tz chini ya miaka 200. Tusaidiane kufanya hii Tafiti na sio kabaki kulaumu tu Wakristu hiyo haitasaidia. Vitabu vya historia vinatuambia mwanzoni mwa Uislam elimu ilipewa kipau mbele sana na ndio tukapata watu kama
Abū ʿAbdallāh Muḥammad ibn Mūsā al-Khwārizmī yule mvumbuzi wa algebra, kina Abu Musa Jābir ibn Hayyān mtaalam wa kemia n.k. Sasa tujiulize walikosea wapi Waislam hadi Wakristo wakaja kuwa-overtake?[/QUOTE]
hmethod,
Good point. Lakini kumbuka target kubwa iliyofanywa na Roman Catholic Empire ni kuzivamia nchi za kiislam na kuondoa record zote za academic. Walifanya mpango huo ktk nchi za Palestina, Iraq, North Africa, nk. Jiulize kwanini Historia inatuambia kwamba kila wakati Roman Empire wakivamia kitu cha kwanza ilikuwa ni kutokemeza Eilimu kwa Waislamu.
Roman Catholic baadaye wakaistablish Missionaries kuja kuinfluence, Asia, Africa, Tanzania, na nchi nyingine duniani. Nyerere alikuwa mmoja wa Wanafunzi wa hii Ideology ya Roman Catholic. Nyerere aliweza kwa kukata majina ya Kiislamu ktk vyuo vikuu. Waislamu wengi waliosoma ktk muda wa Nyerere ilibidi wabadilishe majina ili wapate elimu. Kwa mfano, JK, Lipumba, Kapuya, nk.
Kitu cha chengine ambacho kinafanya niamini kwamba Nyerere alikuwa Mbaguzi, angalia ktk kitabu chake cha Hatma ya TZ. Anazungumzia OIC kwa muda mwingi, na kulalamika kwamba ZNZ isijiunge na OIC., bila ya kutoa sababu za msingi.
Nyerere aliweza kuwahamisha Masheikh wengi kutoka Mikoa ya Kusini na wengine aliwaweka jela bila ya sababu. Viongozi wa dini ya Kiislama kutoka Kenya, walipigwa marufuku wasiingie TZ, bila ya sababu za msingi. Yote kwa sababu ya Chuki zake na Uislamu.
Ni vizuri kwa WTZ kumzungumzia Nyerere, kwa sababu ya maafa ya Ubaguzi aliofawafanyia Waislamu.