Wanajamvi
Huku kwetu Mtaa wa Kigezi Kata ya Buyuni Maeneo ya Chanika jijini Dar es Salaam kuna fomu za kuanzisha vikundi vya Kijamii vinavyoratibiwa na baadhi ya Wana-CCM . Kwa aliyetoa maelezo anasema kuanzishwe vikundi vya kijamii ambapo kila mkaazi wa eneo hili anatakiwa kujiunga kwa kujaza fomu ambayo inataka NAMBA YA NIDA pamoja na Taarifa zote za KUVERIFY Kitambulisho cha NIDA.
Binafsi machale yamenicheza. Ninaamini kutakuwa na konection na uchaguzi ujao. Hususan kutengeneza vitambulisho vya kupiga kura