Don't you know how Miafrika operate? Miafrika are only good at whining...oh it's the government's fault...oh it's our leaders...oh it's the colonialists...oh it's slavery..oh it's the imperialists...with Miafrika it's always somebody else fault but themselves....
aiwazuii kama bado wanajitambua wana asili hiyo, lakini si wanao ikana alafu kun'gan'gana eti wanajitakia. na mmesha ambiwa awana hela akiba ni choice ku-risk kufuata chakula (kg) au kutochukua risk kula hayo magamba hela ndio ina uwezo wa ku-afford hila bado tu mnawasema.
Hivi nyie kweli hata watu weusi kwanza Haki-Ya-Mungu, mbona amna sympathy na matatizo ya wenzenu.
Unaweza kuanza na mimi lakini mimi sio raia wa Tanzania.
JC:
Ngoja nikubali kuwa nimefanya kosa. Lakini tufanye experiment hapa. Tumuombe moderator afungue thread na mfuko wa kusaidia maafa, tuone tutakavyojitokeza.
Vilevile kwa wale walioangalia ITV, je baada ya matangazo kulikuwa na contact ya watu ku-pledge kusaidia?
Wewe Jasusi sio vizuri hivyo bana...kwa nini umebandika picha ya huyu mtu? Lol....
Wakuu kama nimemuelewa JC vizuri tatizo nadhani sio watu kuchangia tatizo ni kuwa serikali inafanya nini. Serikali ina hela nyingi za kutosha kusaidia hao watu wenye njaa, kwanza,kwa nini wafiche ukweli wakati watu wana njaa, pili wakati wamefahamu hatua gani za haraka zimechukuliwa???
Ukichangia hela hizo zitatumika kama silaha, mhusika wa kugawa hiyo misaada atakuwa mkuu wa mtaa au diwani ambaye atatumia itikadi katika kugawa etc . Si kama hatuwapendi ndugu zetutunawapenda sana, ila matatizo ni mengi sana hapa kwetu.
Una maana hii picha ni ya kutishia watoto?
.
JC:
Ngoja nikubali kuwa nimefanya kosa. Lakini tufanye experiment hapa. Tumuombe moderator afungue thread na mfuko wa kusaidia maafa, tuone tutakavyojitokeza.
Vilevile kwa wale walioangalia ITV, je baada ya matangazo kulikuwa na contact ya watu ku-pledge kusaidia?
Kwani kuchangia lazima zipitie serikalini? Si watu wanaweza kuchangia halafu process yote ikawa mikononi mwetu, kwa nini mkuu wa mtaa/ chama fulani ahusishwe? kuna sheria hiyo?
I knew you were better than that unlike some. Kuna makampuni ya kimataifa yapo kwa ajili hii na magala amboyo yamejaa mahindi. Hiki ndio chakula wanatuletea africa lakini kama jamaa alivyosema huko Korea wanapelekewa mchele kwa matatizo haya haya.
Kabla hata atujafikia michango (ni moyo wa mtu si lazima), kuna watu ambao wapo responsible ktk mambo kama haya. Mtoa mada ameeleza chakula kipo mikoa mingine (extra) lakini serikali inashindwa kukifisha uoni uzembe huo tayari.
Kudoz kwa ITV, hizi expose ndizo tunazitaka, sio nchi ina uhuru wa habari (relative) lakini waandishi wanakuwa na whipped na cult of personality kama North Korea.
Sasa kifuatie kingine cha public forum, mnazunguka nchi nzima, mnaoongea na wananchi, mnaongea na wataalam wa kilimo, mnaongea na wasomi, mnaongea na kinamama, mnaongea na wanafunzi, mnawapa angalau saa moja kwa wiki watoe maoni yao nini kifanyike.Hakuna kitu kizuri kama kuwapa wananchi forum directly.
Hapo ndipo utaona watu wanavyowa shame watu wa serikali kuu na wabunge wao kwa kuonyesha uongozi directly kuliko hata hao "viongozi" wenyewe.
Let's face it, watawala wetu wameshindwa kuongoza, kilichobaki ni kuirudisha nchi kwa wananchi ili wananchi wenyewe watoe muongozo.
JC:
Mtu anaweza kuropoka tu kwa kusema mikoa mingine ina chakula extra bila kuleta namba au kufanya hesabu zozote.
Hicho chakula extra kiko mikononi mwa watu. Hivyo serikali haiendi kwenye mikoa hiyo na kuchukua chakula cha bure na kusafirisha mikoa yenye njaa. Serikali itakachofanya ni kutoa chakula kutoka kwenye akiba zake.
Vilevile kuna principal ya supply and demand. Kama watu kwenye wilaya zenye njaa wangekuwa na pesa za kununua chakula, basi wafanya biashara wasingesita kutumia malori kuchukua chakula sehemu zenye extra extra na kupeleka kwenye sehemu zenye njaa.
Na kufanya hivyo price ya chakula katika maeneo yenye chakula extra inge-appreciate na kuwapa wakulima faida kubwa sana.
Phenomena iliyotolewa hapa haionyeshi kuwa wakazi wengi wa maeneo yaliopatwa na maafa wana uwezo wa kununua chakula. Kama wangekuwa na uwezo principal za economy zingekuwa applied automatically. Wachuuzi wa chakula wangepeleka chakula bila serikali kuingilia kati.
Kuhusu michango hiyo ni barometer ya utaifa. Nchi zisizojua kujitolea siku zote ni masikini.
You are so wrong!......
Tanzania hii Bluray, nani atakubali kufanya kazi ya Salvation Army au Lions Club au Rotary Club watu watachanga wataondoka hapondipo wajanja wataingia na kuwaacha walengwa hola, uliza wahanga wa mabomu ya mbagala
Mjomba its obvious kwenye maafa kama haya mwenye hela aathiriki sana wenye uwezo wa ku-afford the required services/needs uzifuata asubiri especially kama yupo desperate.
Clearly kwa hawa wajamaa ukweli wa mambo (huo uwezo wa wao kuwafanya wafanyabiashara watiririke awana) ni wakulima wanaotegemea mazao ukame ndio umeleta mambo, sasa hao wenye hizo trucks wawasaidie vipi labda kwa namna mnayofikiria nyie wasaidiwe na wananchi wenzao. Si vibaya na tunahitaji moyo huo.
Lakini maana hasa ya kukusanya kodi kwenye ubepari yaani hii ni kanunu ya kwanza kama we ni mchumi, ni hela ambayo imetengwa kutokana na kuweza kuwafikia wale watao achwa au kwenye maafa ambapo serikali inabidi iwafikie walio athirika. Na hii si hela ya kuingia miradi ya uongo kwa kusema tunataka kuwasaidia watu. Sasa sidhani kama kuna maafa mengi kwa binadamu kama njaa wanafanya nini?
Tanzania hii Bluray, nani atakubali kufanya kazi ya Salvation Army au Lions Club au Rotary Club watu watachanga wataondoka hapondipo wajanja wataingia na kuwaacha walengwa hola, uliza wahanga wa mabomu ya mbagala
Sasa unafikiri wanaofanya kazi Salvation Army, Lions Club au Rotary Club ni malaika kutoka mbinguni???