Na akigeuka hilo jibu utakalopewa itakuwa afadhali ya njaa tena.mmhh... hapo haskii..., mpaka chaji ikate ndio ageuke
haaa haaa haa... dryNa akigeuka hilo jibu utakalopewa itakuwa afadhali ya njaa tena.
HahahahahahahaYuko bize kufuatilia wachangiaji wa JF na maxence mello
Anacheza gemu LA nyoka kwenye Nokia tochi yakemmhh... hapo haskii..., mpaka chaji ikate ndio ageuke
na lilivyo refu, mmhh... atasubir sanaAnacheza gemu LA nyoka kwenye Nokia tochi yake