NJAA NOMA

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,303
2,000
Hili swala la njaà linakwepenka endapo atafungua mikaka. Naskia hata pembejeo kwa wakulima mwaka huu zimekuwa za kupata kwa manati.
 

kisingi

JF-Expert Member
Apr 9, 2014
493
500
Nchi sasa njaa kali ya kutengeneza. Pesa za mifuko ya jamii kujenga kiwanda cha sukari na viatu. OOF, NSSF sasa ndio wizara ya fedha na bank kuu. Ndio wanaojenga viwanda. Mahakama iliamuru wastaafu ATCL walipwe haki zao PPF lakini serikali imegoma kurekeleza amri tunachoona ni kuhamisha hizo pesa kujenga viwanda. Njaa ni ya kutengenezwa na waliopo ktk uwongozi
 

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,707
2,000
Akigeuka jibu lenyewe hivi ww una akili kweli? Kabla yangu mimi
Ulikuwa unaishije?
Mzee kidogo hali ilikuwa nzuri
Halafu wewe una utani na mimi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom