Njaa mbaya wanaume, acha tu wanawake wapende pesa

Daah yan mwanaume njaa tu tena sio siku moja bali ni masaa unalia lia km mwanamke!!sisi wengine kipind tunachacha tulishawai kulalia biskut ya 200 na tukavunga,yan mkuu njaaa siku moja tu alaf utakuta hapo hauna familia upo mwenyw tu unaon km ni big issue sana!aseh ww unachekesha sana
Hahah sio poa kaka, daaaaaah!
 
We mtoa mada mayai kweli. Nakumbuka miaka 5 nyuma kipindi nasoma Udom pale kuna muda boom ilkua inakata mapema sana na sijaweka bill ujasi wala cafeteria, aloo nilikua nashindia FURSANA na MKATE yaani ilikua ni balaa mpaka hata mwezi mzima na unazunguka kuhudhuria vipindi vyote kuna vingine vya college nyingine huko labda Education mimi nlkua Cnms kuna umbali ila unatembea tu mradi uhudhurie. Alafu wewe kidume toto mayai ndembedembe unalia kushinda njaa masaa tu. Tuulize wakulima tunaenda shambani na chupa la maji tu ya kunywa unashinda unalima unakuja kula jioni au usiku alafu ww unashinda ndani na remote unalialia.
OMG!!!
 
Na je, ulipata GPA nzuri? Kwani ukikosa chakula hutosoma vizuri kabisa.
 
mwanaume unalialia njaa ya siku moja? yaani wewe unatakiwa upelekwe msitunii siku 2 bila msosi ujue nini maana ya uanaumme
 
Nilijaribu juzi kukaa asubuhi mpaka jioni kwa kunywa chai tu, aisee asikuambie mtu, njaa mbaya! Umasikini mbaya mnooo! Leo nawakingia vifua wanawake, msiwalaumu jamani, tutafute pesa.

Kuna muda unapigwa mzinga mzito, unaishia kulaani kabisa na kumtukana huyo bae wako. Ila jua tu ana wazazi, wadogo zake wanasoma, anauguza wagonjwa, chakula kimekwisha n.k!

Acheni tu! Kwa maruwe ruwe yale niliyoona, acheni tu wanaume masikini SANA wasipendwe, wakifanikiwa huwa ndio wa kwanza kuwatenda waliowavumilia, hawana shukrani tena na huanza dharau na matusi.

Acheni wanawake wapende pesa!!! Tutafute pesa.
Mkuu una dalili zote za kuja kugawa tundu..Ahsante!
 
Njaa kitu kingine mkuu
Mwanao mwenyewe wa kumzaa ukimlaza njaa siku 2 anakudharau
Ndoa zinavunjika kisa njaa
Unaju mtu yupo ladhi akupe sehemu ya kulala lakini siyo msosi, achana na njaa mkuu
Adui muombee njaa
 
Yaani acha tu, nilikuwa nafanya participative research daaaah! Itoshe kusema njaa mbaya sana.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Nilijaribu juzi kukaa asubuhi mpaka jioni kwa kunywa chai tu, aisee asikuambie mtu, njaa mbaya! Umasikini mbaya mnooo! Leo nawakingia vifua wanawake, msiwalaumu jamani, tutafute pesa.

Kuna muda unapigwa mzinga mzito, unaishia kulaani kabisa na kumtukana huyo bae wako. Ila jua tu ana wazazi, wadogo zake wanasoma, anauguza wagonjwa, chakula kimekwisha n.k!

Acheni tu! Kwa maruwe ruwe yale niliyoona, acheni tu wanaume masikini SANA wasipendwe, wakifanikiwa huwa ndio wa kwanza kuwatenda waliowavumilia, hawana shukrani tena na huanza dharau na matusi.

Acheni wanawake wapende pesa!!! Tutafute pesa.
Sio mchezo mkuu
 
Back
Top Bottom