Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,584
- 287,238
Mengine ni kujitakia tu .Uwe na elimu basi ,uwezo wako Wa kufikili usifungwe na ccm.
Njaa ni natural disaster, the same as mafuriko.
Natural disaster haina chama
Mengine ni kujitakia tu .Uwe na elimu basi ,uwezo wako Wa kufikili usifungwe na ccm.
Njaa ni natural disaster, the same as mafuriko.
Natural disaster haina chama
Kwa nini na wewe usijitolee ulicho nacho kwanza ndio umnyooshee kidole mwenzio???Ni kweli inasikitisha sana, na sasa wakati umefika wa kila Mtanzania kujitolea kile alichonacho kusadia ndugu zetu, ni ajabu sana mtu kama fisadi Lowasa anajimilikisha ranchi yetu ya Taifa anajaza ng'ombe maelfu kwa maelfu kwa ajili ya kupiga nao picha tu wakati watu wetu wanakula wadudu, kwa nini kama kweli ni mtenda haki asijitolee lori moja tu lililojaa ng'ombe na kuwampelekea hao wanaokula wadudu?
Inasikitisha sana kwa kweli!
Mnasemaje wananjaa wakati wanakula ........... au hao wadudu si chakula......... na kama si chakula mbona wanakula acheni uhongo.Wananchi wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanaripotiwa kula wadudu aina ya viwavi jeshi wanaojulikana kama fumbili kutokana na tatizo la njaa wilayani humo.
Chanzo:Mwananchi online
Hii ni aibu kubwa na ni fedheha pia.
Ngome inakula wadudu!!
Kwa nini na wewe usijitolee ulicho nacho kwanza ndio umnyooshee kidole mwenzio???
MAafisa usalama wa chakula walikuwa wapi hadi wananchi wafikie hatua hiyo?
Wananchi wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanaripotiwa kula wadudu aina ya viwavi jeshi wanaojulikana kama fumbili kutokana na tatizo la njaa wilayani humo.
Chanzo:Mwananchi online
Hii ni aibu kubwa na ni fedheha pia.
Ngome inakula wadudu!!
Hao watu ni hatari kwelikweli! Hata pamoja na njaa hiyo itisha uchaguzi leo hii, ni kijani tuu kwenda mbele.Wananchi wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanaripotiwa kula wadudu aina ya viwavi jeshi wanaojulikana kama fumbili kutokana na tatizo la njaa wilayani humo.
Chanzo:Mwananchi online
Hii ni aibu kubwa na ni fedheha pia.
Ngome inakula wadudu!!
Wananchi wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanaripotiwa kula wadudu aina ya viwavi jeshi wanaojulikana kama fumbili kutokana na tatizo la njaa wilayani humo.
Chanzo:Mwananchi online
Hii ni aibu kubwa na ni fedheha pia.
Ngome inakula wadudu!!
Umeneno kiongozi. Watu siku hizi hawana utu kabisaLakini angalau nina akili za kujua kwamba ukiwa na ng'ombe maelfu halafu jirani yako anakufa njaa unapaswa kibinadamu na Kimungu pia umgawie angalau ng'ombe wachache ii aweze kupata chakula badala ya kuwatumia ng'ombe hao kupiga nao picha na kusambaza Ulimwenguni kote!
![]()
Wewe kweli akili sawa na ng'ombe! Hujui hata shughuli za wakazi wa Dodoma?!
Kwa taarifa yako wakazi wa Chamwino wana ng'ombe wengi kuliko Lowassa!
Kwan umemuona tu mzee wa amani kwann vigogo wa ccm nao wasiende kutoa msaada c ngome yao (ccm)? "Acha waisome namba ccm mbele kwa mbele " ndio hiyo sasa ya mbele kwa mbele ila ingekuwa inaenda mbele na kurudi nyuma ingeenda toa msaada ccm yenyewe kama yenyewe kwanza kwakua ni ngome yao, lkn kwakua ccm haijali mtu itaki kufisadi huku citizens wanakufa njaa
Ni kweli inasikitisha sana, na sasa wakati umefika wa kila Mtanzania kujitolea kile alichonacho kusadia ndugu zetu, ni ajabu sana mtu kama fisadi Lowasa anajimilikisha ranchi yetu ya Taifa anajaza ng'ombe maelfu kwa maelfu kwa ajili ya kupiga nao picha tu wakati watu wetu wanakula wadudu, kwa nini kama kweli ni mtenda haki asijitolee lori moja tu lililojaa ng'ombe na kuwampelekea hao wanaokula wadudu?
Inasikitisha sana kwa kweli!
Hata akijiua huyo MP wao kwan hujui kama ccm ni wpga dili tu!MBUNGE WA HUKO NI NANI? YUKO WAPI KWA SASA ? ANAJUA HII ADHA YA WAPIGAKURA WAKE ?......
CCMCHAMA GANI VILE??
Baada ya kuwaza jinsi gani serikali ya ccm itawasaidia wewe unamuwaza Lowassa tu, akili nyingine ni tatizo
yule mbunge wao ambaye ni spika aliyeenda kufanya chek up india kutokana na uchovu wa uchaguzi mkuu atakua na la kusema kuhusu hili nadhaniWananchi wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanaripotiwa kula wadudu aina ya viwavi jeshi wanaojulikana kama fumbili kutokana na tatizo la njaa wilayani humo.
Chanzo:Mwananchi online
Hii ni aibu kubwa na ni fedheha pia.
Ngome inakula wadudu!!
Achana na hawa watu hawajielew...walisema arud akachunge ng'ombe chuga leo hii wanasema apeleke ng'ombe kwamba wamuona wa maana sas.waendelee tu kusonga mbele na m.c.c yao mpaka iwafkishe huko wanakoenda.CCM imejaza watu wa aina yako kuanzia huko Dodoma mpaka juu kabisa kwenye utawala tangu uhuru ndio maana watu wanakula wadudu wakati dodoma ina ardhi yenye rutuba.
Mbunge wa Bukoba mjini ,mh.Rwakatare alitoa madawa Hospitalini tena kwenye jimbo lake lakini serikali ya CCM ikakataa kupokea hizo dawa. CCM na serikali yake wakaona ni bora watu wafe kuliko kupokea msaada toka kwa mbunge wa chama kingine.
Leo hii unamtaja Lowasa eti atoe ngombe 10. Unataka mzee wa watu wamtoe utumbo kwamba ananipigia kampeni na uchaguzi umeisha.
Kama aliandamwa kwa kutoa sadaka kanisani na misikitini itakuaje akianza tena kusaidia tena kwenye ngome za wasoma namba wa CCM.
Wagogo wana ng'ombe wangi wachinje tu ngombe zao na sio kula wadudu wasio na viwango!