Yale yale kuna idara ambayo ni dedicated kabisa kwa sababu ya uratibu wa maafa; ambao wanajukumu la kufanya risk assessment za jamii na kupanga intervention za maafa. Kwa mujibu wa serikari majuzi tu hapa kupitia mkurugenzi wa takwimu ni kwamba serikari ina reserve za kutosha ya chakula na so far mikoa yote hiko sawa.
Hivi inakuwaje inafikia mpaka watu wanaanza kula wadudu wakati kuna kamati ya ulinzi, ofisi ya mkuu wa wilaya, ofisi ya mkuu mkoa, idara ya maafa ndani ya wizara. How do these people communicate, at what time does the local government need to raise the alarm before things get to worse, how does the idara ya maafa scan social potential dangers in order to intervene, what is the structure between all these departments in relation to prevention and intervention of social crisis and who is who in those functional teams.
Mifumo mifumo mifumo na uwezo hilo ndio tatizo lenyewe; halafu mwaka jana hiyo idara ya maafa ilikuwa inatoa kozi za menejiment sasa hao wanafunzi walijifunza nini kama hali inaweza kufikia kuwa critical bila ya wahusika kufanya lolote surely any management course teaches leadership ability to identify, intervene and reduce risks ya chochote kila unachosmea; halafu utaambiwa huyo jamaa ni Phd, sijui msaidizi wake dr and the lists of nonsense qualification mbona sasa atuoni hiyo elimu ikifanya kazi.