Njaa Dodoma: Wananchi wala wadudu aina ya Viwavi Jeshi

Njaa Dodoma: Wananchi wala wadudu aina ya Viwavi Jeshi

cha muhimu ni kuangalia hao kama wana sumu na usafi wao upo vipi, unless otherwise inaweza ikawa a good source of protein na source nyingine ya chakula.., wadudu ni chakula cha jamii nyingi sana duniani
 
Nimeshuhudia episode hii.Ila ningeomba isichukuliwe kwamba kula viwavi jeshi in itself ni kitendo kibaya,no ni jambo zuri tu kwa kuwa it's a good soure of proteins,vitamins and some mineral nutrients.Infact katika nchi za Zimbabwe,Namibia South Africa na Botswana it's a delicacy.Ubaya ni kwamba wanakula kwa vile hawana alternative nyingine,that is the only food they have.QUOTE="Salary Slip, post: 15062213, member: 84376"]Wananchi wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanaripotiwa kula wadudu aina ya viwavi jeshi wanaojulikana kama fumbili kutokana na tatizo la njaa wilayani humo.

Kwa mujibu wa gazeti,madiwani wa kata husika wanajuta kugombea nafasi hizo kwani wananchi wanawalaumu na waliyasema hayo katika kikao cha dharura alichokiitisha mbunge wa Jimbo husika lenye kata 14.


viwavi.jpg


Chanzo:Mwananchi online

Hii ni aibu kubwa na ni fedheha pia.

Hii ndio picha ya kiwavi jeshi katika gazeti husika

viwavi.jpg
[/QUOTE]
 
Hawa wanakula mboga bila ugali, mbona wale wala senene zinaliwa bila kelele.
 
Tokea umesikia kuisoma namba chochote kinachokatizwa mbele yako unakibandika kusoma namba. Kwa Taarifa yako UNFP walishauri watu wale wadudu kwa vile wana viwango vingi vya virutubisho.
na watu wa dodoma wameitika wito
 
Mahala ambapo ni strong hold ya CCM huwezi kosa mambo kama hayo!

Mambo kama haya CCM and its luminaries watajaribu kuyaficha lakini yatasikika tuu!

Kingpins wa siasa na maendeleo ya Dodoma ni kina Ndungai na Malechela hawana msaada wowote?
Wanaficha eti hakuna mtu aliyekufa kwa ajili ya njaa. Ina maana huko Dodoma hakuna watoto wadogo ambao wataathirika na chakula hiki cha wadudu? Na kama wakipewa dawa, hizo dawa zitafanya kazi gani ikiwa chakula ni shida?
Jinga sana hiki Chama.
 
Uwache upumbavu ranchi ya Tanga inakuhusu nn? Kwani Dodoma haina ranch? Ranches za Liti Mpwapwa na Kongwa zinamilikiwa na nani?
 
Wagogo ni wavivu sana. Na wakipata kidogo kinaenda kwenye pombe iwe pesa au chakula. Hawajui kuweka akiba ya chakula hata siku moja.
 
Wagogo wataendelea kupigwa na laana mbalimbali mpaka watakapoacha wizi wa mifugo na vitu vingine.
Mgogo akipita sehemu anasomba kuku, bata, mbuzi, kitimoto, ng'ombe, punda, viatu kandambili na hata kiporo cha ugali.
 
Kumbe waliobomolewa ni chadema hakuna ccm.....unazidi kunishangaza. Hao walobomolewa ccm wapo na hao wenye njaa chadema pia wapo. Mvua huja kwa ccm na chadema na njaa pia kwa wote haichagui chama. Tatizo chadema mnadhan kila mwanachama wenu ana pesa hajapatwa na hayo majanga. Binafsi mi sio ccm na wala sina mpango wa kujiunga. Chama changu sio moja ya hvy vyama vikubwa vinakejeliana kila kukicha but I argue with reason sio ushabiki
Ulimchagua nani kati ya Lowassa na Magufuli?
 
Kwakweli ukiacha mambo ya siasa.Dom ni sehemu kame zaidi hapa Tz.Sijui hawa watu wanaishije maana kila mwaka njaa.
 
Ni kweli inasikitisha sana, na sasa wakati umefika wa kila Mtanzania kujitolea kile alichonacho kusadia ndugu zetu, ni ajabu sana mtu kama fisadi Lowasa anajimilikisha ranchi yetu ya Taifa anajaza ng'ombe maelfu kwa maelfu kwa ajili ya kupiga nao picha tu wakati watu wetu wanakula wadudu, kwa nini kama kweli ni mtenda haki asijitolee lori moja tu lililojaa ng'ombe na kuwampelekea hao wanaokula wadudu?

Inasikitisha sana kwa kweli!


we jamaaaa bure kabisa,...p umba kabisa,...hovyo sana wewe,...lowassa na serikali nan mwenye wajibu kwa wananchi wake,,,,,,,,........
 
Ccm inaungwa mkono sehemu zenye dhiki kubwa , iko hivyo .
Tanzania kuna chakula tele. Mahindi, mihogo, beans nk has a huko Sumbawanga, Katavi, Moro, Kibaigwa jirani Na Chamwino. Nazani kuna uzembe au kutowajibu kumefanyika. Ni aibu kuwaacha wananchi wanakufa njaa wakati supply iiko jirani! Hifadhi ya chakula imefurika wapeni Wadodoma Chakula
 
RC anashangaza sana!Hamjalala wakati watu wanakula wadudu!!Huyu mkuu wa mkoa na mkuu wake wa wilaya kazi imewashinda.
 
Watakoma, walijisifu eti wamechagua CCM kwa kishindo!!! Hivi kwanini mikoa yenye dhiki kubwa ndio inayochagua hili lichama? Halafu eti ndio makao makuu ya chama!!! Nasema na wakome!!
 
Back
Top Bottom