Njaa balaa!

Hii sasa ni balaaaaa, siyo njaa bali ni wageni waliopo mwilini kila mmoja anataka pande, duuuuu! hatari lakini salama, daaaaaa! taaaabu kweli kweli....
 
Hii si njaa bali ni umero (uroho)! kwanza atamaliza? au yalikuwa mashindano ya kula?
 
Jamaa ana macho mekundu kama amevuta bange vile, mana'ake bange nayo huwaga inaleta njaa!!!!!
 
duh sasa hata kama ni njaa ila ya kwake imezidi wakuu!!!khaaa??si atauwa watoto na mama yao??
 
yalikuwa ni mashindano ya kumtafuna kwio.
...Hapo kwenye kwio umenikumbusha mbali sana. Tulipokuwa wadogo mkiwa mnafanya zali mahali e.g. kuiba mapera au machungwa kwenye shamba la mtu ukihisi noma unapiga kwio jamaa anajua kimenuka anatoka nduki.....:biggrin1:
 
Nadhani nyege ndo balaa zaidi unaweza okota hata milupo lolz :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…