EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Nawasalimu wana MMU.
Back to the topic,
Nina wapenzi wawili, mmoja ni pisi kali haswaa kama wanavyosema watoto wa mjini yaana naona fahari sana kutoka nae maeneo mbalimbali ya starehe hata katika matukio mbalimbali ila shida yake ni moja yaani kitandani ni mvivu balaa siku akikupa mechi ikizidi 30mins hujamaliza mnagombana na anakusukuma pembeni [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] na ikitokea ukamaliza mapema ukitaka round nyingine ni mtiti mpyaa unaanza hali hii ikapelekea kusaka side chick.
Day moja nikiwa matingasi[emoji481][emoji481][emoji481] nikakutana na dada mmoja confidence ya Kilimanjaro lager nikamtongoza, baada ya wiki ya kusumbuana akakubali, huyu ni kama mimi she's sex addicted yaani utafanya kadiri ya unavyojisikia ila muonekano wake ndio kipengele yaani amekaa kisela saana kama mademu wa Chuga she doesn't look sexy but she's sweet and potable na anajua saana yale mambo ya kitandani ila sio mtu ambaye unaweza kumtambulisha hata kwa washkaji wako.
Nipige chini hii pisi kali ya kuuzia sura nibaki na huyu "msela" au I should keep them both?
NB: Hii ni story ya mchizi wangu, huwezi amini stori naiandima nipo nae hapa bar asubuhi yote hii pombe sio poa[emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Have a nice day fellas
NB: Picha haina uhusiano na story