Niwasimulie vijana wa 2000

Niwasimulie vijana wa 2000

1. Uchemshaji ulianza mida ya saa mbili hadi saa tatu kwa zahanati na hospitali nyingi.
2. Kuchemshwa huko kuliambatana na kutoka kwa harufu fulani kali toka kwenye dawa.
3. Sindano zile zilikuwa kali kwa makalio usiombe ukutane na nesi anayevimbisha anapochoma.
Nmemkumbuka dr mahunda!
 
Hazikua za plastic though kama picha inavyoonyesha, zilikua za glass, na kwenye kuchemsha needles zilikua za stainless steel na kwenye uchemshaji zilkuwa disconnected
 
Na sisi watundu kila siku vidonda , tulipakaliwa sana hii GV

1748085806657.png
 
Back
Top Bottom