Niwasimulie vijana wa 2000

Niwasimulie vijana wa 2000

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,885
Reaction score
5,176
Niwasimulie vijana WA 2000

Zamani hizi sindano hazikuwa single use mtu alikua akidungwa basi inahifadhiwa na itachemshwa Kwa ajili ya kumdunga mtu mwingine Tena

Na sio hivyo tuu sindano ikiwa butu ilikuwa inanolewa ili makali yake yarudi Tena

kama ulipitia haya maisha, kumbuka kusali na kutenda mema.
1748004742388.jpg
 
Niwasimulie vijana WA 2000

Zamani hizi sindano hazikuwa single use mtu alikua akidungwa basi inahifadhiwa na itachemshwa Kwa ajili ya kumdunga mtu mwingine Tena

Na sio hivyo tuu sindano ikiwa butu ilikuwa inanolewa ili makali yake yarudi Tena

kama ulipitia haya maisha, kumbuka kusali na kutenda mema.View attachment 3343043
Hospitali ya Makao Makuu ya Jeshi Upanga opposite na Diamond Jubilee Hall mwaka 1983.
 
Niwasimulie vijana WA 2000

Zamani hizi sindano hazikuwa single use mtu alikua akidungwa basi inahifadhiwa na itachemshwa Kwa ajili ya kumdunga mtu mwingine Tena

Na sio hivyo tuu sindano ikiwa butu ilikuwa inanolewa ili makali yake yarudi Tena

kama ulipitia haya maisha, kumbuka kusali na kutenda mema.View attachment 3343043
Kuna sindano ilikuwa inaitwa Kristapen au PPF ivi bado zipo...ukipigwa tako moja lazima likose mawasiliano na mwili kwa dk kadhaa.
 
Back
Top Bottom