Na wazee wengine walifabya hivyo ili kumuandaa mama ampokee 'vizuri'; mama aweke sawa mji na kuandaa chakula sahihi.Kwa kufanya hayo, ilikuwa ni nafasi ya mama kufanya clearance ili kama kuna mambo ya gizani alifanya, anajiweka sawa
Hakuna Mzee wa zamani angerudi nyumbani ghafla pasipo kutanguliza kimzigo/Koti ama chochote
Siku hizi na hizi simu zenu, watu wanakaguana hadi usiku wa manane 🙌
Kuna ndoa itadumu kweli
Ndiyo hivyo MkuuNa wazee wengine walifabya hivyo ili kumuandaa mama ampokee 'vizuri'; mama aweke sawa mji na kuandaa chakula sahihi.
Hata sasa wenye busara hutoa taarifa mapema kila anapokaribia kufika.
Kuna baba mmoja akiwa Kibaha anatoa taarifa, hata kama asubuhi alisema atarudi.
Akifika jirani na nyumbani anaita watoto wachukue vitu na zawadi, yeye anapiga zake vitu na mchemsho; saa nne hivi usiku anaenda nyumani.
Unataka umpende mwanaume ndio upate hisia?Atumie mwili wa mwanaume aliyemuumiza??. Hivi mtu akikuumiza unaweza hata kuruhusu akushike mkono? Serious??. Kuna yale makosa madogo madogo ila mtu anipe mateso aliyompa huyu mdada halafu eti mwili wake uwe unanitoa uchovu!!!!.hizo hisia zinatoka wapi???
Nataka kujihisi nipo salama yeye akiwa karibu yangu ndio hizo hisia zije.Unataka umpende mwanaume ndio upate hisia?
Wamekuambia wanataka kupendwa ?
Mmmh unampoteza mwenzio, akae atulie asianzishe mahusiano mapya. Akifumaniwa yeye do ataonekana tatizo na ndoa yao itaishia hapo.Mambwa naona yanatetea mbwa mwenzao.!!
Sikiliza top face, acha mpango wa kujitesa na kutesa watoto, sikiza USIONDOKE..
Inatakiwa umuonjeshe sumu aliyoitengeneza mwenyewe..!!
Kwa mlipofikia mumeo kavuka mstari, Anakupiga, anakutesa, anakusaliti, tendo hakupi kwa wakati na hakuheshimu..!!
Hapo tayari ndoa imekufa imebaki kwenye makaratasi tu!
Cha kufanya
Mtafute boss wake mtege mpaka aingie kwenye mfumo, anza kumpa kei kisha mvuruge avurugike..!! To mbwer kwa raha zako tena gugumia kwa utramu kabisaa..!!
Hapo sasa utalipa kisasi chako vizuriiii You know wara I mean 😹😹
Hao wapuuzi wataishi kama mashetani, unamwambia boss mmoja apangiwe Kagera mwingine Songwe halafu wewe unabaki hapo hapo kwa huyo boya kwenye nyumba yake ukiendelea kulea watoto wako kwa amani na utulivu huku ukila maisha na boss kubwaaa..!!
Hiyo ndoa ilishajifia au wewe unaona kuna ndoa hapo??Mmmh unampoteza mwenzio, akae atulie asianzishe mahusiano mapya. Akifumaniwa yeye do ataonekana tatizo na ndoa yao itaishia hapo.
Tuliza kalio bado unampenda huyo mwanaume, subiri akuue na presha au magonjwa au kipigo kabisaaa..!!😁😁😃😃😃😃 Dah nimecheka kwa huzuni!!
Hii Yako ni kubwa sana aseee ..hivi unawajua hao mambwa vizuri
.
Kwanza alivyo na wivu! ..NITAGEUZIWA KIBAO KUWA Mimi NDIYE Malaya mkuu na aibu itakua juu yangu.. alafu wengine uongo hatuwezi NITADAKWA MCHANA KWEUPE! 😂😂
Ndoa bado ipo avumilie, awe na imani ipo siku mme wake atapigwa tukio na akili itamkaa sawa.Hiyo ndoa ilishajifia au wewe unaona kuna ndoa hapo??
Kumbe na nyie inawauma eeh mkisalitiwa..!!
Au sio?Ndoa bado ipo avumilie, awe na imani ipo siku mme wake atapigwa tukio na akili itamkaa sawa.
Trust me wote Hawana roho nzuri. Usalama unautengeneza weweNataka kujihisi nipo salama yeye akiwa karibu yangu ndio hizo hisia zije.
Yaani mtu anipige halafu mi nitengeneze usalama nikiwa karibu yake?? Kivipi?.Nikodi body guard wa kunilinda au??.Trust me wote Hawana roho nzuri. Usalama unautengeneza wewe
Ushauri wangu wa mwisho avumilie tu, kwa upande wako dada yako unamshaurije ?Au sio?
Akae asubiri, na vipi kama hajapigwa tukio?
Na kwa muda gani atamsubiri?
Wakati huo yeye aja zake nani anamtimizia?
Kwa maoni yako akae asubiri kifo chake..!!
Angekua mwanao ungeshauri hivi?
Au ungefanyiwa hivi na mkeo ungevumilia?
Sikia , kama unaina unaonewa nawewe si umpigeYaani mtu anipige halafu mi nitengeneze usalama nikiwa karibu yake?? Kivipi?.Nikodi body guard wa kunilinda au??.
Nguvu zangu zina matumizi muhimu zaidi ya hayo.Sikia , kama unaina unaonewa nawewe si umpige