😁😁 KibolodindaWewe ndio una tatozo la kisaikolojia sio tatizo ni tatozo unawaza sana maokoto, leo katika pitapita nikakuta wanawake wenzio wanaongea wanasema kwamba
Mwanaume rijali kibolodinda hawezi kua na Mwanamke mmoja, unaelewa sijui.... Mwanaume rijali hawezi kua na mwanamke mmoja lazima awe na wengine wa kuwatomba wewe ukimletea za kuleta anavusha mwengine anamtomba maisha yanaendelea
Utapigwa utakufa halafu hao watoto unaowawaza utawaacha wanateseka. Utapigwa utapata ulemavu wa kudumu utashindwa kufanya kazi hao watoto watateseka vile vile. Utapata msongo wa mawazo, presha, kisukari,utakufa kabla ya wakati utaacha watoto wanateseka. Kuvumilia unyanyasaji haimaanishi watoto hawatateseka,unaweza kuvumilia unyanyasaji na watoto wakateseka vilevile hasa kihisia na kisaikolojia.Mfano mzuri watoto walioshuhudia mama zao wakipigwa na baba zao wameachiwa majeraha mabaya sana mioyoni mwao.Na ukianza tolarate hata kofi kesho anakupiga ngumi ya jicho keshokutwa unakatwa shingo. Vipigo hapana kwakweli. Tena nimependa ujasiri wa dada wa kumuachia watoto nae apambane nao tu, hizi huruma za kusema watoto wataishije sijui watateseka nikiondoka zisisababishe tuwe abused.
Hizi points zako tuzibold kabisa. Huo uvumilivu wa vipigo mbele ya watoto ndio tunatengeneza kizazi kingine kinachoona kumpiga mwanamke ni sawa yaani kawaida kabisa.Utapigwa utakufa halafu hao watoto unaowawaza utawaacha wanateseka. Utapigwa utapata ulemavu wa kudumu utashindwa kufanya kazi hao watoto watateseka vile vile. Utapata msongo wa mawazo, presha, kisukari,utakufa kabla ya wakati utaacha watoto wanateseka. Kuvumilia unyanyasaji haimaanishi watoto hawatateseka,unaweza kuvumilia unyanyasaji na watoto wakateseka vilevile hasa kihisia na kisaikolojia.Mfano mzuri watoto walioshuhudia mama zao wakipigwa na baba zao wameachiwa majeraha mabaya sana mioyoni mwao.
Tunazalisha watoto wenye trauma wakati therapy kwa wanasaikolojia ni gharama za juu wengi hatumudu. Mwisho wa siku jamii inajaa watu wakatili.Hizi points zako tuzibold kabisa. Huo uvumilivu wa vipigo mbele ya watoto ndio tunatengeneza kizazi kingine kinachoona kumpiga mwanamke ni sawa yaani kawaida kabisa.
Wala sijakasirika sema tu punguzeni mazoea😁 Dah mkuu punguza hasira
Loooh haya maneno anayaongea mwanaume ambaye hajui heka heka za mtoto, mke wako namuonea huruma niwe mkweli. Zile heka heka za watoto utapata wapi muda wa kukumbuka eti hujabadili dera toka asubuhi??. Ndio maana wanawake huwa tunaambiwa olewa na mwanaume mwenye huruma ambae heka heka za watoto zikifika akikuona hataona mwanamke mchafu bali atamuona mama anayejitoa maisha yake sadaka kwa ajili ya wengine kiasi cha kujisahau yeye mwenyewe.Wala sijakasirika sema tu punguzeni mazoea
Mume hazoeleki na mume ndio mtoto wa kwanza anapaswa kulelewa
Shida mkizaa tu dishi linahamia kwa watoto mume anasahaulika.!
Usafi unaweza kuta ni changamoto wa mwili hata makazi
Ukute mwanamke dela moja toka mume kaaga anaenda mpaka anarudi bado liko mwili tena ndio anajifanya yupo bize kupika.!
Muwe wasafi na watundu kwa bed
Nb: acheni kuwa wezi wa pesa za familia mwanamke kuweka akiba ambayo mumu hajui ni WIZI
Sasa ulitaka akubali? Kama humataki njoo kwangu Mama mimi sitaku-cheatSasa jumbe tu ndo nipuuzie? Hadi niwakute live? Siyo mara Moja ila alikataa nikapuuzia.safari hii bampa to bampa
Kweli wa mjini mtoto lainilainiLoooh haya maneno anayaongea mwanaume ambaye hajui heka heka za mtoto, mke wako namuonea huruma niwe mkweli. Zile heka heka za watoto utapata wapi muda wa kukumbuka eti hujabadili dera toka asubuhi??. Ndio maana wanawake huwa tunaambiwa olewa na mwanaume mwenye huruma ambae heka heka za watoto zikifika akikuona hataona mwanamke mchafu bali atamuona mama anayejitoa maisha yake sadaka kwa ajili ya wengine kiasi cha kujisahau yeye mwenyewe.
Bora useme wewe mwanaume mwenzao, hii dhana ya mwanaume ameumbiwa tamaa itaishia kwa sisi wahenga hawa ndugu wa nyuma yetu moto utawawakia wasipobadili mindsetWanaume tuache kujinyanyua mabega na kujihesabia haki dhidi ya wanawake!
Kwamba mwanaume kaumbiwa tamaa kuchepuka ni sawa ila kwa mwanamke ni uhaini.
Tustuke that's no longer working na tuadjust kuendana na mabadiliko haya ya kijamii yaliyotokea.
Mtoto laini wa mjini?? Hao wa vijijini wenye nguvu ndo maana wanakuwaga hoi wamechoshwa na majukumu ya kulea hadi umri na muonekano haviendani, binti anaonekana mzee kisa majukumu yamemzidi, ndiyo hayo maisha unataka tuishi??. Au wakati mwingine mtoto mdogo analelewa na mtoto mdogo mwenzie ili mama afanye kazi nyingine kitu ambacho kinahatarisha usalama wa mtoto. Na unavyosema ajiri mtu kwa ambae hana kipato je??. . Na kazi za nyumbani zinachosha vizuri sana tu kama kazi za kutoka nyumbani so usidharau mtu anayezifanya haijalishi ni msaidizi au ni mama.Kweli wa mjini mtoto lainilaini
Na wale wanaoenda shamba kulima huku katoto kananyonya tuwaweke wapi ikiwa we wa mjini unalialia kazi za nyumbani.!
Acheni uvivu.. ndio maana wazazi wanaojielewa wanadeal na watoto wao wa kike mapema sana
Mzazi akikwepa wajibu lazima ukawe kituko unakoenda
Halafu kama una kipato ajiri mtu akusaidie shida nini.?
Kabisa mkuu, wanawake siku hizi tunaondokana na dhana ya kuvumilia ujinga,hakuna faida yoyote ya kuvumilia kitu kinachokuumiza,haipo.Bora useme wewe mwanaume mwenzao, hii dhana ya mwanaume ameumbiwa tamaa itaishia kwa sisi wahenga hawa ndugu wa nyuma yetu moto utawawakia wasipobadili mindset
A real masculine man hampigi mwanamke,mwanaume kumpiga mwanamke ni dalili ya udhaifu maana anajua mwanamke hana nguvu za kumrudishia. Kama wewe masculine sana kampige mwanaume mwenzio mpambane sio kutafuta uanaume kwa kiumbe amacho hakiwezi kupambana na wewe.Yaani mwanamke mwenye homoni sahihi ukimbie ndoa kisa mwanamke mwenye kitobo kama wewe amevizia udhaifu wako akakudokolea. Dah!
Yawezekana hata shtaka la kuguswa kakofi kidogo ni kutokana na kufungua mdomo ukidhani kumpayukia mwanaume ndio kumshinda, a masculine man ukimletea kamdomo lazima akuguse kidogo.
Andiko lako lina kasoro nyingi zinazoashiria na wewe kuna sehemu umechangia hayo makosa, ila hauwezi andika hapa.
Ukiona wanandoa wanatembea kwa furaha, huko vyumbani kuna muda kuna filamu ndefu na zenye simanzi.
Sana tu...ila shida ameleta mwanamke baada ya kuanza ufukunyuku kusachi mpaka simu ya mwanaume. Unapoampekua mwenza wako basi uwe tayari umeshafanya maamuzi ya kuachanaKwa hiyo kwa maelezo ya mtoa mada huyo mumewe anamtunzia heshima?
Najua wanawake wengi mtatoa ushauri wa kimihemko ili kurahisisha hiyo ndoa ivunjike ila najua hamtakuwa tayari kumsaidiabchochote mwenzenu pindi life lake litakapoenda wrong na kupoteza mustakabali mzima wa watoto wake.Kwa hiyo kwa maelezo ya mtoa mada huyo mumewe anamtunzia heshima?
Lau kama mngekuwa mnahudhuria zile kesi za madawati ya jinsia na usuluhishi wa masuala ya ndoa ndio mngekuwa mnajua majuto wanayopitia wanawake waliofosi talaka kwa waume zao.Kabisa mkuu, wanawake siku hizi tunaondokana na dhana ya kuvumilia ujinga,hakuna faida yoyote ya kuvumilia kitu kinachokuumiza,haipo.
Mkuu mawazo yako ni ya kizamani sana, makungwi wa kizazi hiki sio wale wale wa miaka ile kama wewe ni kijana under 30 na hujaoa bado nakuhurumia kwa hii mindsetLau kama mngekuwa mnahudhuria zile kesi za madawati ya jinsia na usuluhishi wa masuala ya ndoa ndio mngekuwa mnajua majuto wanayopitia wanawake waliofosi talaka kwa waume zao.
Huwezi kupata mwanaume malaika katika dunia hii.
Nadhani makungwi na masomo wenu wawekee mafunzo ya kuwakanya kupekuapekua simu za waume zenu...Inaonesha ni jinsi gani hamjiamini.
4 years kama huyo mwanaume angekuwa hampendi au hamtaki mkewe si angemuacha na kumleta mchepuko ndani? Why hajafanya hivyo? Bado anampenda mke wake.
Mchepuko atapita ila mke atabaki.
KabisaaKabisa mkuu, wanawake siku hizi tunaondokana na dhana ya kuvumilia ujinga,hakuna faida yoyote ya kuvumilia kitu kinachokuumiza,haipo.