Dah tatizo nimechoka! Huwa haoni makosa,!! Siku zote yeye yupo sahihi.Sikia la mama, Hapo hamna kukimbia ndoa and ondoa wazo la kisasi. Cha msingi muonyeshe kwamba amekosea na muyazungumze kwa kuzingatia ukuaji na ustawi wa watoto wenu...
Kama uliweza kumuelewa alipokuficha kwamba ana mtoto, hata kwa hili mnaweza kuongea na mkaelewana.
NB: HAKUNA MWANAUME WA MWANAMKE MMOJA AND VISE VERSA....
Wanaume tuache kujinyanyua mabega na kujihesabia haki dhidi ya wanawake!50/50🥹🥹🥹.
Dah hii nimetoka kapaKama kuna watu walikutesa ukiwa mdogo, wafuate uwakabili / uwa confront.
Waambie walichokifanya.
Wawajibishe, kama ni kuwapeleka polisi, au kuwaweka hadharani maovu waliyofanya.
Kama vipi lipiza kwao wenyewe.
Sasa wewe jitie hamnazo waliokutesa unawaacha wanatamba unawafuata wasiohusika my friend, hiyo huruma unatafuta hutoipata zaidi ya kujaza ujazo wa ghadhabu itakayoshuka juu yako maana huna tofauti na hao waliokuumiza, walimuumiza mtu asiye na hatia na wewe unaumiza wasio na hatia. Wote waovu tu.
Character isn't measured during happy seasons, but during hardshipsNapenda kutoa mifano hai/halisi kwa lengo la kutoa hamasa na uvumilivu.
Tukio kama hili limetukumba Familia yetu.
Mimi ni mmoja ya Watoto sita kwa mama yetu ambaye ni mke mkubwa.
Enzi hizo Usukumani (Kahama) au hadisasa mwanaume akiwa na Ng'ombe ni fahari kubwa na jamii inamu term kama mtu aliyefanikiwa maishani.
Ni mtoto wa pili kati ya hao sita na wote tupo hai, Asante Mungu.
Mama yetu alipitia kipindi kigumu sana katika malezi yetu, Bibi mzaa mama RIP alimshauri asijaribu kuondoka kwenye Familia yake mbali apambane atulee na tupate elimu.
Mama ametufanya wote tukapata elimu, Brother (Mining Engineering by Professional) amejiajiri anamiliki maduka makubwa mjini DSM, ana mjengo Kigamboni safii kabisa.
Mimi second born nina kazi yangu safi Mkoani Dodoma tena ni moja ya Management team katika Taasisi ninayofanyia kazi at below 30YRS tu.
Third born ni a boy, ni Mining Engineering by Professional amejiajiri anafunga na analima mkoani Geita, dogo below 27 YRS ana minimum mtaji wa 200M.
Fourth born ni a boy, ni a Secondary Teacher by professional, yupo Handeni Tanga ana ajira yake safi serikalini.
Watano na wa mwisho bado wapo shule.
Tumekua tukiona mama ananyanyapaliwa, chozi la Mama limetupa Baraka na Neema sisi watoto wake.
Tunamshukuru tumeweza kujitegemea na tunashirikiana.
Mama angelikata tamaa may be tugelikuwa machokoraa, tugekuwa vijana wabaya.
Sipo hapa kujisifu natoa ushauri usijaribu kuacha watoto wako Dada yangu pambana hadi mwisho Mungu atakulipia chozi lako.
Wanaitwa narcissists hao,hawakosei wao ni watakatifu siku zote ila mwenzie ndio mkosaji na wapo jinsia zote me na ke.Dah tatizo nimechoka! Huwa haoni makosa,!! Siku zote yeye yupo sahihi.
Sasa jumbe tu ndo nipuuzie? Hadi niwakute live? Siyo mara Moja ila alikataa nikapuuzia.safari hii bampa to bampaJumbe tu ndio zinakuchanganya ? Acha wivu mama utawapa watoto shida , ongea nae mwambie aache mara moja, hampendi huyo malaya tu wa nje , angekuwa anampenda angemuoa yeye.
Usiache Familia yako, Watoto wako watateseka Dada, wewe una ajira, Ajira yako do mtaji wako why upate pressure?Nimelia sana😭
Mkuu mkeo angekuweka kwenye situation aliyopo mleta mada kwasasa ungeufuata huu ushauri wako?Sikia la mama, Hapo hamna kukimbia ndoa and ondoa wazo la kisasi. Cha msingi muonyeshe kwamba amekosea na muyazungumze kwa kuzingatia ukuaji na ustawi wa watoto wenu...
Kama uliweza kumuelewa alipokuficha kwamba ana mtoto, hata kwa hili mnaweza kuongea na mkaelewana.
NB: HAKUNA MWANAUME WA MWANAMKE MMOJA AND VISE VERSA....
Thanks for reminding me ...View attachment 3680655
Kuhusu watoto zingatia ushauri wako huu ulioutoa Miaka 9 iliyopita.
Sikushauri umuache. Adhabu kuu ni kukaa kimya, jirudishe nyuma, at the end of the day mmeo ataanza kujiuliza maswali na with time atajirudi.
Usivunje ndoa kwa mambo hayo, ni mpito tu—IM NOT MARRIED THOUGH, SO I JUST SPEAK FROM OBSERVATION NOT EXPERIENCE.
" Hata akufanyie ubaya gani", hata akikatwa mkono kama yule mwalimu wa Arusha aendelee kukaa??Usiache Familia yako, Watoto wako watateseka Dada, wewe una ajira, Ajira yako do mtaji wako why upate pressure?
Tumia huo mtaji kusimamia watoto wako, hata akufanyie ubaya gani wewe kaa, lengo lako kichwani ni Future bora ya watoto wako.
Hakuna mtoto anayependa kulelewa na mama wa kambo hakunaa.
Uko hai, una nguvu kwanini ukimbie watoto wako ?
Watoto wako do mtaji wako mkubwa uzeheni.
Utajisikiaje kusikia neno mama alitutelekeza tukiwa wadogo, ile bond kati ya watoto na wazazi hajtakuepo
Lakini hatufanyi kwa KUPENDA wanaume wanatusukuma tufanye hivyo..Usiache Familia yako, Watoto wako watateseka Dada, wewe una ajira, Ajira yako do mtaji wako why upate pressure?
Tumia huo mtaji kusimamia watoto wako, hata akufanyie ubaya gani wewe kaa, lengo lako kichwani ni Future bora ya watoto wako.
Hakuna mtoto anayependa kulelewa na mama wa kambo hakunaa.
Uko hai, una nguvu kwanini ukimbie watoto wako ?
Watoto wako do mtaji wako mkubwa uzeheni.
Utajisikiaje kusikia neno mama alitutelekeza tukiwa wadogo, ile bond kati ya watoto na wazazi hajtakuepo
Hakuna njia mbaya sana kwetu wanaume kama mwanamke akikaa kimya halafu akawa akarudi nyuma kimajukumu kama mwanamke. Inatupa maswali na kuanza kujitafakari upya wenyewe.Thanks for reminding me ...
But nikikaa kimya atajuaje kama NIMEJUA?
We Unatunzaje pesa ikiwa mumeo hajui.?N li shida sana..kwanza akigundua Nina hela atafanya kila namna nizitumie ... 🥲
Mtoa mada a focus na kazi, malezi ya watoto wake, Huyo wa Arusha alikuwa mvuta bangi." Hata akufanyie ubaya gani", hata akikatwa mkono kama yule mwalimu wa Arusha aendelee kukaa??
Ni ngori haswa!Ni vyem wengine waweke tint😂😂😂.