Shemeji una play smart tuu, lazima kwanini usifanikiwe wakati ushafanikiwa paka game?
Kwa zile enzi zetu ni lazima tuu, tena unamfanya aone kwanini alikuwa anapoteza muda
Aaah yani me hapo "ubinafsi" wangu unapojidhihirisha, kumcompete na mtu siwezi mwee, aende tu. Boss kuna watu ni watumwa wa mahaba hadi unatamani isjitokea ukapendwa na mtu kama huyo, akhuuuHahahaaaa! Eti hadi mahaba yenyewe yanawashangaa!! Ila daaah the thot that sahivi yupo kwa mwenzangu!!! Aiseeee!!
Yeah nimekuuliza wewe kama wewe can you share? If yes, why?
Dhaaa!!, kushera n ngumu na ningumu kuvumilia kuona unashera waz waz hapo sasa mtu atakua umependa na kumuacha unashindwa cz karoho kanakuwa kanauma unasema ngoja nivumilie huenda akabadilika kumbe wap. Hyo unakua umempenda au unamliatu hella akiwa n mtt wa kshua
Aaah yani me hapo "ubinafsi" wangu unapojidhihirisha, kumcompete na mtu siwezi mwee, aende tu. Boss kuna watu ni watumwa wa mahaba hadi unatamani isjitokea ukapendwa na mtu kama huyo, akhuuu
Hahahaaaaa! Uliona mapinduzi yameshindikana ukasepa! Ila yahitaji moyo wa ziada na kujitoa akili kufanya hivyo.
So ukisalitiwa wewe hukubali, ila ukivamia kambi uko tayari kushare bila tatizo? Hivi tofauti hapo iko wapi? Na kwanini ukubali kushare?
Yanaitwa mahaba nigalagaze hata nikiwa nashare nijione ni wangu peke yangu.