Nivue

Nivue

Usivue kaka el..wasikutumie kataa kwan hakuna msafi
 
Ulipogundua siyo matusi ulifanya nini? Ulisonya, ulicheka au....?
 
wameshindwa, jiandae tu kwa urais 2015, tutakupigia kura, bora wewe hata ukiiba kidogo kazi unafanya hata tukila hasara kidogo tunachofaidika nacho ni kikubwa zaidi, kuliko matikiti maji yanayoiba na kazi hayafanyi... bora wewe bwana, tumekumiss kenye sirikali..
 
what for.................................................
 
mkuu hilo linagundi likitoka linatoka na ngozi
 
Back
Top Bottom