Niuzie simu bb.used

hope1985

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
874
500
wakuu samahani sana mwenye blackberry ili mradi isiwe 8520, nnakupa simu mpya ya kisasa ya TECNO T611 ina internet ya fast, nakupa elf 30 cash, bei ya hiyo tecno kko 70, mwenge 80 aliyetayari tuonane leo hii nchukue mzgo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom