Niuzie gari kwa milioni tano

Wewe jamaa hata laki 5 za kununua sanlg huna huo ni mkwara tu hata mm na katoyota harrier kangu siwezi kuhangaika na wewe!!!
Na kama una hiyo mil 5 basi saizi yako ni paso tena iliotumika.
 
Nawashangaa wanaoogopa magari ya mkoani,Kuna kijiji nilienda kutembea nikakuta Kuna gari imepaki ilikuwa ni starlet namba A lakini Ina muonekano mzuri sana kwa nje kama vile namba D,nikamuuliza jamaa mmoja vipi gari ya nani hii jamaa akanijibu ni ya mzee mmoja hivi imemshinda naskia engine imekufa. Baada ya siku mbili hivi nikamfuata mzee nikaongea nae akaniambia kijana gari hii mbovu wameshindwa mafundi watatu Na huyu wa tatu ndo kaharibu kabisa engine hapa ilipo hata kuwaka haiwaki. Nikamuomba niikague nikaicheki nikaona engine haijafunguliwa ila kwenye upande wa wiring ndio imeungwa ungwa sana pia power window imetolewa. Nikaona hapa niinunue halafu ntaenda kuitengeneza mwenyewe. Nikamwambia mzee niuzie hii akasema ntakuuzia nini hapa labda body Tu nikamwambia sawa engine ntatafuta. Akasema nimpe laki Saba kwa hiyo body. Nikamwambia nakupa laki tano akakubali. Nikaenda tigopesa nikamtolea hela yake. Nikamwambia amwite fundi afungue engine aitoe akasema yeye hana shida nayo niondoke navyo vyote. Nikaenda kwa bro nikamuazima gari yake nikaja kuivuta hii yangu mpaka mjini. Nikamwita fundi wetu nikamwambia angalia taratibu hii gari matatizo yake halafu uniambie tufanyeje. Akaicheki akasema hii gari haina power window,pia mfumo wa wire umeharibika na engine control box haifanyi kazi. Tukabadilisha alivyovisema pamoja na oil na fluid zingine. Kuja kuwasha gari mpyaaaaa. Kumbe gari haikuwa mbovu sana sema mafundi wa mikoani wengi wanabahatisha kutengeneza. Hiyo gari mpaka sasa ipo na sijatumia hata milioni moja kuitengeneza. Kwa hiyo gari za mikoani ukiifumia utafurahi.
hiyo avator yako kiboko
 
Wewe jamaa hata laki 5 za kununua sanlg huna huo ni mkwara tu hata mm na katoyota harrier kangu siwezi kuhangaika na wewe!!!
Na kama una hiyo mil 5 basi saizi yako ni paso tena iliotumika.
Mi kichaa mpaka niendeshe hiko kilapa cha chooni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom