Niuzie gari kwa milioni tano

Niuzie gari kwa milioni tano

Mbona huku mikoani ndio naona gari zinakuwa na hali nzuri kuliko huko mijini,fanya hako kautafiti utakubaliana na mimi,labda kama ulimaanisha hutaki gari za vijijini kwani zinapita sana kwenye rough roads..
 
huwezi kupata gari unayotaka kwa hiyo budget uliyopanga na masharti lukuki hasa kipindi hiki cha masika halafu ndinga kama starlet unaijua vizuri?
afadhali umesema...M5 ni ya kununua kigari siyo gari.
 
Mtu mwenyewe dharau zimekujaa utauziwa gari na nani...
Nenda bandarini huko kwenye minada ya TRA utapata gari unayotaka na sio vitakatakata unavyoviita...hivo vitakataka vinaweza hata kukuokoa wewe na mkeo na mtoto wako siku gari yako ikiharibika inaweza hata kuwapeleka hospitali ...

UKWELI MTUPU MKUU........Amekuja kwa dhalau sana,ina maana mtu kama anamiliki gari ndogo anamiliki taka taka??, kwanza kama ana jeuri si aende showroom, awaachie watu na takataka zao..eboo!!!!!!!!!!!!!!!!
 
UKWELI MTUPU MKUU........Amekuja kwa dhalau sana,ina maana mtu kama anamiliki gari ndogo anamiliki taka taka??, kwanza kama ana jeuri si aende showroom, awaachie watu na takataka zao..eboo!!!!!!!!!!!!!!!!
Haha aise nmesoma nkaishia kucheka tu...tena amuombe Mungu sana ..hizo hizo gari takataka ndizo ipo siku zitamuokoa kwenye hatari...
milioni 5 sjui 7 una dharau hivo je mtu ambaye anaingia showroom hapa hapa bongo na milioni 70 cash atasemaje ama atakuwaje sasa ...
 
Nawashangaa wanaoogopa magari ya mkoani,Kuna kijiji nilienda kutembea nikakuta Kuna gari imepaki ilikuwa ni starlet namba A lakini Ina muonekano mzuri sana kwa nje kama vile namba D,nikamuuliza jamaa mmoja vipi gari ya nani hii jamaa akanijibu ni ya mzee mmoja hivi imemshinda naskia engine imekufa. Baada ya siku mbili hivi nikamfuata mzee nikaongea nae akaniambia kijana gari hii mbovu wameshindwa mafundi watatu Na huyu wa tatu ndo kaharibu kabisa engine hapa ilipo hata kuwaka haiwaki. Nikamuomba niikague nikaicheki nikaona engine haijafunguliwa ila kwenye upande wa wiring ndio imeungwa ungwa sana pia power window imetolewa. Nikaona hapa niinunue halafu ntaenda kuitengeneza mwenyewe. Nikamwambia mzee niuzie hii akasema ntakuuzia nini hapa labda body Tu nikamwambia sawa engine ntatafuta. Akasema nimpe laki Saba kwa hiyo body. Nikamwambia nakupa laki tano akakubali. Nikaenda tigopesa nikamtolea hela yake. Nikamwambia amwite fundi afungue engine aitoe akasema yeye hana shida nayo niondoke navyo vyote. Nikaenda kwa bro nikamuazima gari yake nikaja kuivuta hii yangu mpaka mjini. Nikamwita fundi wetu nikamwambia angalia taratibu hii gari matatizo yake halafu uniambie tufanyeje. Akaicheki akasema hii gari haina power window,pia mfumo wa wire umeharibika na engine control box haifanyi kazi. Tukabadilisha alivyovisema pamoja na oil na fluid zingine. Kuja kuwasha gari mpyaaaaa. Kumbe gari haikuwa mbovu sana sema mafundi wa mikoani wengi wanabahatisha kutengeneza. Hiyo gari mpaka sasa ipo na sijatumia hata milioni moja kuitengeneza. Kwa hiyo gari za mikoani ukiifumia utafurahi.
 
Hahaha huyu dogo Ana mbwembwe, Angekuwa na Walau million 10 angeenda kuomba escort police.

Anyway kwa graduate waliopata kazi recently wakachukua mkopo Hiyo hela ni nyingi kwao!
Dogo ni ww kwa sababu huna hela
 
Najua litakuwa na zile injini za bot yamaha sulitaki hilo mkuu mwambie akaligeuze boti
Wee jamaa mbona una kauli kali halafu km za dharau hivi. Hivi ukimjibu mtu kistaarabu utapungukiwa nini ??.
 
Back
Top Bottom