Niuzie gari kwa milioni tano

Niuzie gari kwa milioni tano

Huyu jamaa limbukeni sana, million tano masharti yote hayo??? Hutopata hata hizo unazoita takataka labda utapigwa tu
 
Tahadhari sitaki gari za mikoani, sitaki vigari vyenu vya kiboya hivi sijui vits,staret,paso, pote, sijui takataka gani nataka gari kidogo yenye ahueni na inayoweza kusafiri.

Namba siyo issue ila isiwe A wala B ila iwe Toyota.
Na ukiniuzia sharti uniwekee full tank.

Nahitaji only watu ambao wanataka tufanye biashara

Masihara sitaki pesa iko mkononi

Asanteni.
Huyu atakuwa lebinadamuz ktk [emoji723] nyingine
 
unataka kununua namba au gari maana kuna gari namba A zimesimama bomba na kuna namba C zimechoka njoo nikuuzie hiyo ina namba c iliyochoka
 
5mil tano ni ela ya gari jamani? Hata bajaj tvs king hupati. Acheni masihara
 
Tahadhari sitaki gari za mikoani, sitaki vigari vyenu vya kiboya hivi sijui vits,staret,paso, pote, sijui takataka gani nataka gari kidogo yenye ahueni na inayoweza kusafiri.

Namba siyo issue ila isiwe A wala B ila iwe Toyota.
Na ukiniuzia sharti uniwekee full tank.

Nahitaji only watu ambao wanataka tufanye biashara

Masihara sitaki pesa iko mkononi

Asanteni.
Utu uzima sio umri
 
Wee jamaa mbona una kauli kali halafu km za dharau hivi. Hivi ukimjibu mtu kistaarabu utapungukiwa nini ??.
Hapana ni ukweli nampa kwa sababu mimi mwenyewe nazijua gari
 
Back
Top Bottom