Niuze magari kumfurahisha mpenzi?

Niuze magari kumfurahisha mpenzi?

Habari zenu Wakuu,

Nina mpenzi wangu na tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka mingi sana. kwenye biashara zangu nimebarikiwa kununua assets tofauti na moja ya assets hizo ni magari 3.

Huyu Mpenzi wangu ndani ya Miezi hii michache amekuwa akinishawishi niyauze haya magari ili nimjengee kwao eti kwasababu mimi nimejenga kwetu.

Nilimkatalia lakini naona mwenzangu ananisisitiza na amekuwa anahasira juu yangu.

Naombeni ushauri wakuu, niuze Magari ili kumfurahisha mpenzi wangu au nimpige chini.?
Wazo lake sio sahihi,halafu inafaa aombe mchango wako katika swala la ujenz ila sio kama anavyofanya kana kwamba ni lazima ww ndio uwajengee kwao, brother Kuna watu wanamali nyingi sana lakini hata kuwajengea wazaz wao waliowazaa na kuwakuza hawakumbuki.Fanya utakachopenda na sio kulazmshwa unless otherwise she is attached to materials!
 
Tangu uje na hii ID umekua wa moto mzeee😁sema nini.....huyo unaempeleka kina kirefu namuonea huruma
 
Habari zenu Wakuu,

Nina mpenzi wangu na tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka mingi sana. kwenye biashara zangu nimebarikiwa kununua assets tofauti na moja ya assets hizo ni magari 3.

Huyu Mpenzi wangu ndani ya Miezi hii michache amekuwa akinishawishi niyauze haya magari ili nimjengee kwao eti kwasababu mimi nimejenga kwetu.

Nilimkatalia lakini naona mwenzangu ananisisitiza na amekuwa anahasira juu yangu.

Naombeni ushauri wakuu, niuze Magari ili kumfurahisha mpenzi wangu au nimpige chini.?
Ndiye uyo unataka umsogeze mkae? Sa mbona ujanja wako dawa yake ndogo sana yani mpenzi tu tena wa miezi kadhaa?
 
Kwahyo unabishana na mapenzi? Tatizo Vijana wabishi sana
 
unagari za kutembelea au za biashara? kama niza biashara yaani zinakuingizia pesa hizo ndio asset ,kama niza kula bata tu hizo ni liability tu sio asset
 
Bango lina scream 🔊..
no-money-donald-duck.gif
 
Habari zenu Wakuu,

Nina mpenzi wangu na tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka mingi sana. kwenye biashara zangu nimebarikiwa kununua assets tofauti na moja ya assets hizo ni magari 3.

Huyu Mpenzi wangu ndani ya Miezi hii michache amekuwa akinishawishi niyauze haya magari ili nimjengee kwao eti kwasababu mimi nimejenga kwetu.

Nilimkatalia lakini naona mwenzangu ananisisitiza na amekuwa anahasira juu yangu.

Naombeni ushauri wakuu, niuze Magari ili kumfurahisha mpenzi wangu au nimpige chini.?
Huwezi kumjengea nyumba huyo mpenzi mpaka uuze magari?,so umefirisika?
 
Back
Top Bottom