Mrusi wa mchongo una maneno😂🤣,hata bajaji tu ya miguu mi3 huna
Hayo ndo maamuzi ya kiume sasaNampiga Chini huyu Mwanamke, nimemchoka na ubinafsi wake.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Msikilize mpenzi wako, acha ubinafsiHabari zenu Wakuu,
Nina mpenzi wangu na tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka mingi sana. kwenye biashara zangu nimebarikiwa kununua assets tofauti na moja ya assets hizo ni magari 3.
Huyu Mpenzi wangu ndani ya Miezi hii michache amekuwa akinishawishi niyauze haya magari ili nimjengee kwao eti kwasababu mimi nimejenga kwetu.
Nilimkatalia lakini naona mwenzangu ananisisitiza na amekuwa anahasira juu yangu.
Naombeni ushauri wakuu, niuze Magari ili kumfurahisha mpenzi wangu au nimpige chini.?
Mkuu huyu ndio Mmiliki wa moyo wangu.Mrusi wa mchongo una maneno[emoji23][emoji1787],
Sema Mjanja M1 una madem wangapi??[emoji23][emoji1787]. mshamba_hachekwi
View attachment 2848384
Haichekeshi wala kufurahisha hii kitu unayo andikaKaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mambo mrembohehehe 😅😅😅😅😅
Umesahau kuandikaHabari zenu Wakuu,