Niuze magari kumfurahisha mpenzi?

Niuze magari kumfurahisha mpenzi?

Sema na moyo wako mkuu.. Ukiona unasitasita usifanye
Moyo unaniambia niyauze ila nikikumbuka kupanda Daladala nakosa amani kabisa.

ASANTE KWA USHAURI MKUU, BARIKIWA SANA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Moyo unaniambia niyauze ila nikikumbuka kupanda Daladala nakosa amani kabisa.

ASANTE KWA USHAURI MKUU, BARIKIWA SANA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Uza mawili ubakiwe na moja, si unayo matatu umesema?
 
Uza mawili ubakiwe na moja, si unayo matatu umesema?
Mkuu, Mpenzi wang kasema niyauze yote ili nimjengee Mama yake nyumba ya thamani kubwa.

ILA HAKIJAHARIBIKA KITU, HUYU NAMTIMUA MUDA SIO MREFU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mkuu, Mpenzi wang kasema niyauze yote ili nimjengee Mama yake nyumba ya thamani kubwa.

ILA HAKIJAHARIBIKA KITU, HUYU NAMTIMUA MUDA SIO MREFU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mwambie msimamo wako, kama hataki achana nae
 
Habari zenu Wakuu,

Nina mpenzi wangu na tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka mingi sana. kwenye biashara zangu nimebarikiwa kununua assets tofauti na moja ya assets hizo ni magari 3.

Huyu Mpenzi wangu ndani ya Miezi hii michache amekuwa akinishawishi niyauze haya magari ili nimjengee kwao eti kwasababu mimi nimejenga kwetu.

Nilimkatalia lakini naona mwenzangu ananisisitiza na amekuwa anahasira juu yangu.

Naombeni ushauri wakuu, niuze Magari ili kumfurahisha mpenzi wangu au nimpige chini.?
Gari ni asset? Ni magari ya aina Gani ambayo unayo?
 
Back
Top Bottom