aretaskimario
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 527
- 248
Mungu hajajificha, anajionyesha katika KAZI ZAKE, KATIKA WENZETU, KATIKA NENO LAKE NA KATIKA SAKRAMENTI kama wewe ni Mkatoliki. Mungu yuko mahali pote na anatenda yote. Mungu akijifi2ha dunia itasimama. Kwa nini unasema mungu anajificha?
mimi ni dini gani?
Hivi wewe dada yangu upo??Kwa nini ulijiunga JF ?
Ndiyo Yesu ni Mungu. Soma injili ya yohane 1:1-21 halafu uje tuendelee
Unadhani kwa Mtazamo wako Raisi ajae ni Nanii!??
Ni nani alianzisha TRAFFIC LIGHT? nitajie jina lake
Kuna dada kanipita hapa kavaa jeans ya blue ana shepu bomba sana
Naomba number yake ya simu
Hivi wewe dada yangu upo??
Sababu sijawahi kumuona.
Tena neno lake linajipinga
ivi kumbe sasa una guess??Mkristu mlokoleau muislamu maana ndo hupenda haya mambo ya dini.
Kwa nini ulijiunga JF ?
Nini hiki?!
binadamu huwa na nywele laki ngapi?
ivi kumbe sasa una guess??
umekosea sanaaa[/l
sijaguess. Vinginevyo ujue hyo dini uliyopo, you are not a true believer maana you are a mlokole or muslim
ivi kumbe sasa una guess??
umekosea sanaaa[/l
sijaguess. Vinginevyo ujue hyo dini uliyopo, you are not a true believer maana you are a mlokole or muslim
mimi sio mlokole na sijawah kuwa mlokole
wewe unaijua tafsiri ya ulokole? ama na wewe unaish kwa mapokeo usoyajua?
linajipinga wapi tena?