Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
- Thread starter
-
- #101
Refer jibu la kuamini pili maumbile. Ndio maana wenyewe wanasema mwanaume ni mwanaumeKwanini mwanamke mtu mzima anaweza kudhani yuko salama akiwa hata na kijana mdogo wa kiume (kutembea usiku) kuliko akiwa pekee yake?
Kuwa makiniwengine wanafurahia mchezo!!!
Ndio maana nikasema wanatofautianambona wengine wanasema ukimuandaa vizuri anaweza kukojoa hata kabla hujaingiza dyudyu
Tumia dawa za kuongeza uume ili uwe mnene.....!demu wangu kaniuliza mb0na mashne yngu nyembamba sana? nmetafakar cjapata jibu je nmwambiaje/nimfanyaje
Duh!!aiseeNaona walokole wanaulizana kuhusu msikiti
Refer jibu la kuamini pili maumbile. Ndio maana wenyewe wanasema mwanaume ni mwanaume
Pelvic inflammatory disease (PID) wahi hospital haraka ukapatiwe tiba.Tatizo la kusikia mauvimi chini ya tumbo upande wa kushoto na kulia na kutoa uchafu mzito wenye rangi ya brown ila usio na harufu (uchafu unakuwa kama umechanganyika na damu)
Pelvic inflammatory disease (PID) wahi hospital haraka ukapatiwe tiba.
Sio kisimi tu humfanya mwanamke kufika kileleni.Nina maswali mawili
1;mwanamke akikeketwa huwa hafiki kileleni?
2;ni kila bawda ya muda gani mwanamke anapata hamu ya juu ya kugegedwa?
Anahitaji kufanya kipimo cha HVS pamoja na culture and sensitivity ya uchafu huo. Pili partner wake lazima atibiwe na kama ana mchepuko pia lazima utibiweIts not me and ameenda sana hospitali na ant biotic za kutosha ametumia hadi sindano zamishipa kachoma ila hali bado inamrudia
Nafikiri hujanijibuSio kisimi tu humfanya mwanamke kufika kileleni.
Ukweli ni kwamba hisia inakuwa juu zaid wakati wa ovulation na sio baada ya hedhiMwanamke akitoka kwenye siku zake anapata ashki (hamu ya mapenzi) nini huwa kinachangia?
Tafiti zimeonyesha kwamba hisia zaidi hutokea katikati ya hedhiNina maswali mawili
1;mwanamke akikeketwa huwa hafiki kileleni?
2;ni kila bawda ya muda gani mwanamke anapata hamu ya juu ya kugegedwa?
because they are feminine ( Female)Naomba Kufahamu kwanini hawana nguvu za mwili kama ilivyo kwa sisi wanaume.
Ukweli ni kwamba hisia inakuwa juu zaid wakati wa ovulation na sio baada ya hedhi
Dawa atumie na mwenzi wake asitumie peke yake pia arudi tene hospital kwa uchunguzi wa kina.Its not me and ameenda sana hospitali na ant biotic za kutosha ametumia hadi sindano zamishipa kachoma ila hali bado inamrudia
Mwambie aende kwa gynaecologistIts not me and ameenda sana hospitali na ant biotic za kutosha ametumia hadi sindano zamishipa kachoma ila hali bado inamrudia
Mwambie aende kwa gynaecologist
Aachane na vizahanati vya mtaani ivi atapewa antibiotics kama pipi na hatopona
Swala lake linataka uchunguzi wa kitaalam zaidi