Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
- Thread starter
-
- #321
Unajua kazi ya grease au oil kwenye injini. Vyuma visisaganeKuna muda mwanamke
Akiingizwa dudu na kumsugua
Kidogo ukatoa unakuta dudu
Ina ute mweupe na wewe
bado hujacheua,hapa ina maana
mwanamke amecheua au ni nn?
Mkuu we utakuwa mtu wa morogoro unayajua mpaka maji udzungwa?!!!!!
TrueWanawake imara sana katika kulea na kujeng familia. Lakini pia wana mapungufu mengine ambaayo ni aghalabu kutokea kwa mwanaume.Mapungufu hayo ni kama
1. Kukosa usiri. Wanawake wengi sio watu wa kutunza siri. Wanaweza kutoa siri za familia kwa mtu ambaye hana msaada sana. Mfano ni rahsi mwanamke kumuelezea shoshti wake kama mmewe ana upungufu wa nguvu.
2.Kutumia hisia zaidi kuliko akili. Maamuzi ya wanawake wengi yanafuata hisia zaidi kuliko akili.
3.Wivu.
4.Matarijio ya uongo. ni rahsi sana wanawake kuamini wanayo ambiwa , kuona kwenye tv. kama umewahi kusikai mapenzi ya kwenye tamthilia yalianzia kwa wanawake. WENGI HAWAISHI KATIKA UHALISIA
Nimekujibu kwa sababu ni kitu nimekisoma nakijuaKanijibu na niliuliza kwa mtego huwenda hakugundua.
Wanawake wote wanapenda kuthaminiwa, na kuheshimiwa.Eh bwana mkuu ni vi2 gan mwanamke anapenda afanyiwe na mwenzi wke
Nimekujibu kwa sababu ni kitu nimekisoma nakijua
Huu mchezo hauitaj hacraMaswali ya humu yamenichekesha hata anaye jibu hayo maswali hana papuchi majibu mengi ni kamba tu. Aliponichosha eti wanawake ni dhaifu kisa kaaminishwa na jamii yake.
Hata huku kwetu iringa yapo sana hayo majiMkuu we utakuwa mtu wa morogoro unayajua mpaka maji udzungwa?!!!!!
Tafadhali ana hitaji ata majibu ambayo siyo mazuri Sana kupanga ni kuchaguwa!Nahis majibu mazuri unaweza kupata kwa hao wahusika
Hapa ata huyu akupe hayo majibu ambayo siyo Rasim yata saidia kujuwa zaidi!Kanijibu na niliuliza kwa mtego huwenda hakugundua.
Hakuna kitu ninacho kiongea kilicho nje ya utafiti. Hakuna sehemu nimesema mwanamke ni dhaifu. Isipokuwa udhaifu wa kimaumbile ambapo huwezi kumuweka katika mizani ya kifisiolojia mwana mke ns mwanaume.Maswali ya humu yamenichekesha hata anaye jibu hayo maswali hana papuchi majibu mengi ni kamba tu. Aliponichosha eti wanawake ni dhaifu kisa kaaminishwa na jamii yake.
Nafikiri katika majibu niliyo mpa nimeweka terms za kisayansi ndio maana mmebaki hofu. Lakini nilicho muelezea ndio scientific basis ya swali lakeTafadhali ana hitaji ata majibu ambayo siyo mazuri Sana kupanga ni kuchaguwa!
Tafadhali mpatie
Hapa ata huyu akupe hayo majibu ambayo siyo Rasim yata saidia kujuwa zaidi!
Nimeisha lijibu hiliKwanini huwa hawana nauli?
Mwanamke anabalehe au anavunja ungo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu mwisho wa siku wanamaliza na conclusion 'kifupi wanawake hata wao hawajui wanataka nini' shenzy mtu mzima aliyebalehe awe hajui anataka nini huwezi kuwa serious
Demu huridhika wakati wa tendo la ngono wastani wa dakika ngapiNimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.
Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.
Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
Hakuna kitu ninacho kiongea kilicho nje ya utafiti. Hakuna sehemu nimesema mwanamke ni dhaifu. Isipokuwa udhaifu wa kimaumbile ambapo huwezi kumuweka katika mizani ya kifisiolojia mwana mke ns mwanaume.
Kuvunja ungo ni sehemu ya balehe kwa mwanamkeMwanamke anabalehe au anavunja ungo?
Nimeisha lijibu hiliDemu huridhika wakati wa tendo la ngono wastani wa dakika ngapi
Huu mchezo hauitaj hacra