Niulize maswali kuhusu software ya Adobe After Affect & Adobe Premiere Pro

Binafsi nina penda sana kufanya video za miziki, nimejipanga kimtindo nataka nichukue camera dslr moja nijikite zaidi sema nina swali unaposema motion graphics unamaanisha moving objects/ graphics? sijawahi itumia AE maana mimi ni begginner hivi hiyo AE inaweza kutumika ku edit videos pia au?
 
Binafsi nina penda sana kufanya video za miziki, nimejipanga kimtindo nataka nichukue camera dslr moja nijikite zaidi sema nina swali unaposema motion graphics unamaanisha moving objects/ graphics?

Sijawahi itumia AE maana mimi ni begginner hivi hiyo AE inaweza kutumika ku edit videos pia au?

Karibu sana katika ulimwengu wa film/video production, uta enjoy zaidi kama siku zako za awali utachukulia kama hobby na siyo permanent career. Nasema hivyo kwa maana kwamba, watu wengi wanao wekeza katika hii industry kwa expectations za kutengeneza faida kubwa ya haraka, huishia kujilaumu pale matarajio yanapo chelewa.

Twende kwenye mada:
Ukiachia editing, motion graphics ni moja ya hatua muhimu sana katika post production ambapo mchanganyiko wa images, symbols, colours, fonts, objects hutumika kuongeza feelings and life katika film or video.

Kwa filamu ambayo iko well organized, team ya watu waliobobea katika compositing, inabidi ihusike tangu hatua ya mwanzo ya ku shoot ili zoezi la motion graphics liwe rahisi wakati wa post production.

Nikija kwenye swali lako la "motion graphics..moving objects/ graphics?".ni kweli,ili motion graphics ikamilike lazima kuwe na hali ya motion ya kitu kupitia animation.walibuni jina hilo ili kutofautisha na print media graphic design.

Tukija kwenye swali la AE kama inaweza ku edit.

Technically AE siyo program ya kufanyia editing kwa sababu haina baadhi ya tools ambazo zitakurahisishia utendakaji kazi.kwa mfano tool kama wembe (razor) haipo ndani AE.

Mfumo wake wa layer ni tofauti na editing program kama adobe premiere nk,kila layer inajitegemea,kwa maana hiyo hutaweza kuunga clip mbili katika layer moja na ku apply transion ie cross dissove.

Kwa upande wa audio,japo inaruhusu kui import audio na ina basic audio effects,interface yake haikupi nafasi kubwa ya kuweza kucheza na audio file,hauwezi ukafanya audio mixing au mastering kama AP (adobe premiere).
 
Nashukuru mkuu kwa mawazo hayo mimi napenda sana video making + editing nilianzaga na windows movie maker nilianza kuunganisha picha kuongezea miziki, na maneno maneno na baadae nikawa naandika kama love story hivi na majority walikua wanazikubali sana, sometimes in the future nataka nijizatiti kwenye matangazo na nataka nifanye kama career na iam very patient on this nataka nianze kuzi edit videos nazo zichukua kwenye simu kwa program ya final cut pro naamini una experience kubwa mfano nikijipa miezi 6 full fledge ya kujipiga nondo siwezi kua competent by january 2016 ? maaana nimeona gap kubwa sana kwenye haya mambo kwa Tanzania
 
I need you to be my tutor kwa kweli,
 
sote tumetoka huko huko japo baadaye tunalijaribu kujiendeleza kielimu kwa kusoma "vijikozi" vya hapa na pale (elimu ya kuunga unga:biggrin: ).
nakumbuka program yangu ya kwanza kujifunzia editing ilikuwa ni adobe 6.5.miaka kadhaa iliyopita kati ya mwaka 2002-2004.
6.5.png

ninachotaka kukwambia tu ni kwamba ukiweka nia na malengo,ndani ya miezi sita utakuwa bonge la pro editor.
 
Vp kwenye ku download adobe after effect, unanunua, ni bure au ni bure but unapewa trial period?
 
hakuna genuine adobe AE software ya bure,labda ile ya kuipakuwa toka katika torrent sites.

kama utatembelea katika mtandatao wa adobe,unaweza ku download trial version na utaitumia kwa siku 30, baada ya hapo utaamua uinunue au uendelee kuitumia trial.ingia hapa
 
Mimi swali langu matumiz ya adobe after effect,unatumika kwenye kutengeneza nini zaidi,je video pekeyake?
 
matumizi ya msingi ya AE ni kutengeneza digital visual effects, motion graphics na compositing.hiyo ni kutokana na muundo wake.ili kuyafanya hayo yote,files lazima ziwe katika mfumo wa picha za mwendo(film/video) ,picha mnato(still picture) au ziwe zinatoka katika program zinazo oana na AE na ''kuseviwa'' katika mfumo uliokubliwa na adobe.mfano photoshop files PSD,maya scene files,cinema4D files,quicktime files nk.

baada ya kufanya hayo yote niliyo fafanua hapo juu,ili kujibu swali lako kwa usahihi kuhusu AE inatumika kutengeneza nini zaidi,jibu lipo katika render format yako utakayo chagua,ndiyo itakayo amua ulicho kitengeneza kitokeje.
tazama hii picha hapa chini kwa umakini.
rendee settings.jpg
 
Naikubali AE zamani nikiwa pale mlimani tv niliitumia sana ktk tv motion gfx ni popular gfx sftware,I leant it kwa tutor Andrew Clammer
 
napenda sana hizi mambo, adobe pro nimeshaijua, mziki bado uko kwenye AE. Nikipata swali ntakuja
 
Back
Top Bottom