Agape Kama G
Member
- Feb 19, 2013
- 59
- 9
Nina video ambayo ina background noise kiasi fulani(sababu ya camera ya quality ndogo),naweza kutoa background noise na premier pro??? Na je tool ipi ni bora zaidi kutoa background noise kwenye vids??
Nina video ambayo ina background noise kiasi fulani(sababu ya camera ya quality ndogo),naweza kutoa background noise na premier pro??? Na je tool ipi ni bora zaidi kutoa background noise kwenye vids??
Nina video ambayo ina background noise kiasi fulani(sababu ya camera ya quality ndogo),naweza kutoa background noise na premier pro??? Na je tool ipi ni bora zaidi kutoa background noise kwenye vids??
zipo tools ambazo unaweza kuondowa noise for the entire video.mfano ktk AE kuna hii moja very common na siyo plug in inaitwa "dust and scratches".try it.Nipe detail zaid kuhusu hiyo tool storyteller
ni bidii tu kaka.la msingi na la kuzingatia ni kufanya maamuzi shahihi ya app unayotaka kujifunza,sababu apps zipo nyingi.ukisha fanya machaguzi la app gani unataka kujifunza,kitakacho fata ni kuweka bidii ya kuisoma app hiyo na kufanya majaribio ya kimazoezi mara kwa mara kadili utakapo pata nafasi.Mkuu mm pia niko interested na kujifunza graphics design, nn natakiwa nianze nacho kabla sjahamia kwenye izo software.
Thanks
Mkuu mm pia niko interested na kujifunza graphics design, nn natakiwa nianze nacho kabla sjahamia kwenye izo software.
Thanks
heri ya pasaka.....leta swali kama unalo.
mtiririko mzuri wa kujifunza,japo sio muhimu sana.unaweza anza na AE au na yeyote kati ya hizo kama kichwa chako ni chepesi kuelewa kwa uharaka.Anza na Adobe Photoshop> Adobe Illustrator> Adobe Premier>Adobe After Effect
Ukizijua hizo zote unakuwa umewiva kwa kiasi fulani, unaweza ukaanza kuongezea na nyinginezo eg. Cinemax 4D, Final Cut,etc
#Mtazamo tu
Naonaga kwenye film nyingi za kutisha, kwenye labda scene za mtu kuyeyuka au kubadilika kuwa mbuzi au whatever ,bado kuna faking ya jinsi picha zinavyounganishwa, yani unaona kabisa apa wameunganisha picha mbili tofauti, nini kifanyike ili kuzuia hyo hali na kutengeneza believable scene? Au ni program ipi sahihi inayotumika kucheza na hzo ishu?
ni kweli hata mimi nime observe hilo.
mkuu pole sana kwa usumbufu unao upata kwenye adobe premiere pro.labda tushirikashane maswali,wapi unatatizika na premiere?.uliza tu,tutasaidiana.nipo online saa hii na nimefungua adobe premiere.Kwa kweli hii adobe premiere pro ili nitoa kamasi sijajua hata nianzie wapi maana ili bidi niitoe tu nirudi kwa corel na powerdirector..
ila upo vizuri mkuu sijawaona kina kadoda11, wickerman na wengine..
kwa kuwa mjadala wetu unafanyika online,msada pekee ninao weza kukusaidia kwa sasa ni kuniuliza swali,nami nita jitahidi kadili ya uwezo kukujibu kwa kukupa maelekezo.halikadhalika,nina video tutorials za kutosha za AE ambazo ni very useful for beginners.jisikie huru kunitafuta kama utazihitaji.Mimi nna interest sana na hii kitu ila ciijui hata kidogo nmetumia photoshop lakini nayo kwa
kuunga unga youtube sasa nataka nianze kuijua AE unanisaidiaje
Mim swali langu, ni kwanin material ninayoedit ktk premier pro huwa ni mazito sana na nikipunguza uzito quality ya video Inapotea, naomba msaada