Niulize chochote

Niulize chochote

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,779
Reaction score
21,048
Mambo yanaendaje waungwana?
Mbele yenu ni Nakadori kutoka mkoa wa kilimanjaro, naomba uniulize chochote kuhusu mimi iwe kuhusu mapenzi, uchumi, elimu, na mengine yoote nami nitakujibu kwa ufasaha. Pia kama una ushauri wa kunipatia kulingana na nitakavyojieleza unakaribishwa.

Ombi; Ninaomba wana chit chat muanzishe huu utaratibu wa kufahamiana ili kutuweka karibu zaidi.

Karibuni kwa maswali.
 
Safi sana, kweli mwenyekiti hakukosea kukupa umakamu, alaa...! njegere anakuja jast fromu no wea analeta taratibu zake,!!? akimaliza kujibu.hayo maswali n apetaiti ya chit chat imemwisha

Akirudi atakutana nayo tu...na kuna mengine yanamngojea!!!
 
Safi sana, kweli mwenyekiti hakukosea kukupa umakamu, alaa...! njegere anakuja jast fromu no wea analeta taratibu zake,!!? akimaliza kujibu.hayo maswali n apetaiti ya chit chat imemwisha

Kwani unadhani umakamu aliupata bure?
Mwenzako vihela vya kubraib hilo licheo vilimtoka! Aliuza baiskeli yake , ile phonex nyeusi yenye masaidi mira , Hata wewe Sefet hebu sema uko na shii'ng ngapi tukutaftie kawazifa hapa! Iko nafasi wazi ya Naibu wa Makamu. Pitia Peter Mizengo uniambie utatoa bei gani.
 
Last edited by a moderator:

Hahahah...tena nilimuuzia msukuma mwenzako nikaifunga na redio mkulima
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom