Niulize chochote nikujibu

Kwanini magufuri aliamini uongozi ni kuropoka hovyo na vitisho kwa subordinate wake....au alikuwa na matatizo ya Afya ya akili?....kwa sababu leo hii tunaona rais ni mwanamke na anaongea kwa upole mambo yanaenda...
 
AI is still in its infancy but it holds the future as everything gonna be automated and run on AI algorithms. Give yourself a few years. Your use of AI as matusi may swing to the other side of your imbicilic pendulum

Adios amigo 👋 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Nawezaje kumpata mwanaume mwenye pesa, mwenye hofu ya Mungu na asiye na mambo mengi yaani atulie na mimi tuoane tufanye maisha??
 
ile mimi sipendi hata kuiita akili maana haitafakari, ile ni inalishwa vitu tu ila binadamu anauwezo wa kutafakari hichi ni kitu mali kubwa sana!, hutaweza kunielewa kwasababu mpk utafakari kwa kina!.
 
Hapana Nitakataa..

Kwanza Unatakiwa Ujue Kuna Range tofauti Za Frequency ambapo Kuna Frequence Range ya Visible Light au range of Electromagnetic Radiation In which Human can see ambazo ki kawaida NI 430 THz to 770 THz Chini ya Hapo au Zaidi ya Freaquency hizo Human Can not see na Hapo ndo Linakuja swala la Giza..

Umewahi Kusikia Black hole?
Unahisi kwanini macho ya Binadamu yanaona Black wakati Kiuhalisia Sio Black?

So Black or dark has Freaquency bellow 430Thz and above 770 Thz
Ambazo huwa Tunaziita Infrared Radiation na Ultraviolent radiation..Mionzi yenye Nguvu ambayo Binadamu hawezi kuiona ila ataona Giza tu

CC: KENZY
 
Ahsante kwa ufafunizi mkuu inaonyesha sayansi ya fizikia kwako ipo yakutosha!.
 
Leo nile nn mana ugali na wali vyote nimeichoka na Salad, supu au urojo sishibi ndugu mtaalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…