Niulize chochote nikujibu

Hata kama mwanga usingekuwepo giza tungejua tu lipo kama nalo lipo kweli!, sidhani kama inahitaji mwanga kujua giza! ila inahitaji giza kujua mwanga!.
Na nashangaa wanaosema macho yetu yanasense mwanga mi nachojua macho yetu yanaona vyote hivyo viwili na ndio maana vyote tumevipa majina!.
 
Kwanini kwenye kutafsiri maana ya giza lazima ndani yake watu hugusia mwanga..?
giza kama giza kwanini isiwe na tafsiri yake bila kugusia mwanga..?

is the darkness has frequency..?
if yes why..? and if no why..?
Kuhusu swali lako kuhusu giza kuwa na "frequency" giza kwa asili halina frequency. Giza ni ukosefu wa mwanga, na mwanga una frequency ambayo inahusiana na mawimbi ya nuru (light waves). Kwhy giza, kama giza lenyw halina frequency kwa sababu ni kutokuwepo kwa mawimbi ya mwanga. Frequency inahusiana na aina ya mawimbi, kama vile mwanga (ambao una wavelength na frequency), lakn giza lenyewe halina sifa hizi kwani ni ukosefu wa kitu kinachoweza kuhesabiwa kwa frequenc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…