Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Wanyamwezi pia wamegawanyika katika makabila madogomadogo kwa mfano Wakonongo, wapimbwe nk,
Hii ni wilaya kubwa pengine kubwa kuliko zote Tanzania kwa ukubwa wa takribani 27,873 kilometre za mraba, ni wilaya iliyosahaulika kabisa kimaendeleo tangu miaka ya Uhuru, wananchi wake wengi wao wanaishi katika dimbwi la umaskini mkubwa, Wilaya hii ilikuwa inajulikana kama Wilaya ya Tabora vijijini hadi miaka ya 2000 ndipo ikapewa hadhi ya kuwa wilaya kamili.
Kun ukweli Fulani,hat Makao.Makuu Sikonge Pamelala, ni Kijiji kilichochangamka!.. ila kufunguka Kwa Barabara ya Lami Tabora hadi Katavi ,kumeanza kuamsha watu...inshallah,Wasukuma wanahamia.kwa Kasi ya ajabu ...wasipothibitiwa misitu itatoweka miaka 20.ijayo!
 
Sijui Tabora Ina , Nini .. kihistiria Ndio kulifanyika mikutano ya TANU, Shule kongwe zipo Tabora,
Pale ilitakiwa uwe ni mji mkubwa wa Biashara...ila Pamelala...ingawaje pameanza kuamka ...rejea TORONTO ya Mwanry?
Sikonge ni hivohivo..!
Ile dhana kuwa Waarabu wakikaa Eneo fulani hufifisha Maendeleo unaweza kuithibitisha Sikonge!
 
Mikoa wanayokaa wasukuma na wanyamwezi karibia maeneo yote bado ni maskini sana. Inatakiwa Rais mwingine ajaye kuanzia 2025-2035 awe type ya JPM ndiyo waweze kutoka. Ndiyo maana mimi kwa sasa hivi "ninayempigia debe" kwa Mungu ni Majaliwa. 2025 tukienda na Majaliwa anaweza kuwatoa hapo walipo wakatoka milele, na pia watanzania wengine walioko kwenye maeneo mengine popote pale ambayo bado yako kwenye hali ya umaskini unaofanana na huo!
Siyo kweli
 
Kuna hoteli moja tu nzuri, kuku wa kuchoma wapo sehemu moja tu (kwa mujibu wa muda nilipopita huko) wilaya ni kubwa mno mno mno. Wakati tunapita maporini tuliambiwa tusiache vioo vya gari wazi tusijegongwa na koboko.

kuna muhenga humu anaitwa Sikonge
Siyo kweli kwamba Koboko anaweza kumgonga mtu aliye ndani gari
 
Back
Top Bottom