Rais Samia; Maji ya ziwa Victoria yankuja lini Urambo, Sikonge na Kaliua?

Isengelo

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
476
746
Kipindi cha Awamu ya Tano cha hayati Magufuli fedha za mradi wa maji ya victoria Tabora zilizobaki, zilikuwa zipeleke maji wilaya tajwa tanguy 2020. Kitu cha kushangaza leo katika ziara ya Mh Samia Aweso anazitumia Iramba.

Swali langu: Je, ni lini wananchi wa urambo, kaliua na sikonge tutapata maji ya Victoria wakati fedha zetu zimepelekwa Iramba?
 
Mbunge mama Sitta kwa uzee wake, anapigwa mwanvuli na Mwigulu fedha zinakwenda Iramba wakati Urambo hakuna maji. We mbunge mzee mama Sitta kama maji hayatakuja Urambo 2025 usijisumbue kuchukukua fomu tumekuchoka kwanza umezeeka wapishe vijana wenye nguvu.
 
Kwanza nataka nikafunge lokiii maana maji mwanza tu kuna sehem ni shida arafu watu wa tabora na singida wanayapata.subiri nikaite mizimu ya kisukuma lisafiri tope sio maji
 
Ngoja waje wa kampeni ya mama wa taifa wakupe mwongozo wasijifanye hawaoni huu uzi
 
Ngoja waje wa kampeni ya mama wa taifa wakupe mwongozo wasijifanye hawaoni huu uzi
Mkuu Magufuli alikuwa na mapungufu kama mwanadamu, lakini kwa suala la maji Urambo saa hizi tungekuwa na maji ya Vitoria na Aweso anajua, isipokuwa mfuatiliaji hakuna. MAMA SITTA KACHOKA
 
Back
Top Bottom