Eti kwanini TANESCO wanakata umeme saa moja kasoro asubuhi na kurudisha saa nane usiku?Na huu ndo utaratibu hapa mtaani kwetu
Eti kwanini TANESCO wanakata umeme saa moja kasoro asubuhi na kurudisha saa nane usiku?Na huu ndo utaratibu hapa mtaani kwetu
Mkuu energy server zangu zinatoa mwanga hafifu sana kabisa, kuliko nilipozinunua, na tatizo hilo nimeona hata kwenye nyumba za mbali na ninapoishi, na nilipouliza tatizo wameniambia hawajui, na hata baada ya kununua mpya,hali ni ile ile, ila zingine zinatoa mwanga vizuri, je tatizo ni nini?Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye taaluma ya umeme wa majumbani,nafanya wiring,na pi kurekebisha hitilafu kwenye nyumba,na pia natoa ushauri kuhusu maswala ya kiumeme.kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane 0718 30 21 32 napatikana dsm