Niulize chochote kuhusu uchimbaji wa Visima

Huwa nasikia kuna utaratibu wa kupata kibari kutoka kwa Idara inayohusika na mambo ya Bonde(siijui vizuri). Hii ikoje.
Kuchimba kisima cha kawaida mwisho mita 15 baada ya hapo bonde ndo wanahusika nilisikia kwa mtu sina uhakika lakini ngoja mtaalam aje akupe muongozo.
 
TUNACHIMBA VISIMA VYABMAJI

Saiti location: Mwanza - Busweru
Urefu wa Kisima: Mita 130
Upana wa bomba: Inchi 5

Tunachimba Visima na kufanya underground water Survey kwa ghalama nafuu kabisa

0689 150 968 / 0625 557 395 / 0764 418 248
#VisimaNafuu
IMG-20230329-WA0000.jpg
 
Wataalamu na Wabobevu wa Uchimbaji wa Visima kwa matumizi mbali mbali kama vile

°Umwagiliaji Shambani
°matumizi ya Viwandani
°Matumizi ya kawaida nyumbani
°Matumizi ya kunyweshea mifugo
°Visima kwa ajili ya biashara ya kuuza maji.

Pia Tunafanya Underground Water Survey kwa ghalama nafuu kabisa

0689 150 968
0764 418 248
0625 557 395
255766309960_status_1f89f53318bc4d9992dc9c219c47920e.jpg
 
Tunachimba Visima na kufanya Underground Water Survey kwa gharama nafuu kabisa

0689 150 968
0625 557 395
0764 418 248
20230202_120340.jpg
 
Nina kisima M 11 Cha kuchimba kwa mikono(ring).Jamaa aliyechimba alitumia yai la kuku kienyeji kupima.unaweka sindano juu yake(sindano ya kushonea nguo)unailaza juu ya yai unazungusha,kama sindano ikianguka hakuna maji au ikizunguka kidogo ikaanguka ujue maji yapo ila machache sana,kwangu eneo nililomuonyesha aanzie kupima sindano ilizunguka juu ya yai muda mrefu haikuanguka chini ilibaki juu ya yai.(kumbuka:sehemu niyomuonyesha aanzie kupima nilishaipima kwa macho kuwa inayo maji(Hii ni elimu ndogo ya geography 0 level) ,nilitaka kumpima na imani zake)alisema maji yapo nikampa dili akachimba maji ya kimwaga lita 3000 navuta Kila baada ya masaa matano.Nampango wa kuongeza hadi M 50 nikijipanga fresh.(Maji hayo ni ya chumvi ila chumvi inapungua kadri ninavyozidi kushuka chini.(ingawa ni ya chumvi ila mifugo yangu inainjoi halikadhalika mimea pia)
Gharama alikufanyia bei gani mkuu?
 
Back
Top Bottom