pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,099
- 12,479
Kuchimba kisima cha kawaida mwisho mita 15 baada ya hapo bonde ndo wanahusika nilisikia kwa mtu sina uhakika lakini ngoja mtaalam aje akupe muongozo.Huwa nasikia kuna utaratibu wa kupata kibari kutoka kwa Idara inayohusika na mambo ya Bonde(siijui vizuri). Hii ikoje.