Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Huna unalijua pumba tu unajibu ww unadhani tony madola alitukanwa kwaajili ya recism ,,, moja ya chanzo cha kifo chake ni pale aliposlimu na kutaka kuutangazia uma ubaya wa secret society., .

Tony Madola ndio nani?
 
Pua alibadili kweli ...sababu zinazotolewa ni kutokana na muonekano wa pua yake akiwa mdogo iliyofanya ataniwe sana hata Baba yake Joe Jackson alikuwa akimuita Mj " Big Nose"



Natakujuwa alikuwa hana mtoto ata mmoja hujajibu swali
 
Hapa pana ubishani na elimu kwa pamoja, safi sana.
 


ugonjwa wa ngozi aliongea katika first interview with oprah.
 
Haah haa haaa ! duuh na diamond nae "Big mouth" akachongwe mdomo.
 
Aliiga "moonwalk" kutoka kwa nani?
Moonwalk ilikuwa inapigwa na watu kibao miaka mingi kabla hata Michael hajazaliwa kuanzia kina Billy Baily na wengineo, hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa aliiga kutoka kwa nani ila Moonwalk inabakia kuwa Signature move ya michael na yeye ndiye aliyeipa umaarufu Duniani
 

Kuna mtu maalum ambaye Michael Jackson alimuiga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…