Unajua kwann alitoa nyimbo ya heal the world ?? Unajua kwann alitaka afanye show ya mwisho aache mziki ! Je unajua tony madola aliitwa devil kwasababu gani .,;!"
Basi inaonyesha amna ulijualo kuhusu mj ...
Hivi unajua tony madola alikuwa nan ?
Je wajua kwanin walimpiga sindano ya sumu?
Mkuu watu kama hawa wapo wengi sana na wandanganyagwa sana, na mashekhe uchwara kwenye hizo CD za elfu tatu tatu Nje ya msikiti!
he is tommy mottola ,but MJ himself infront of jounalist he said sonny kills music addressing tommy as the one .lakin sio unachokiongea wewe
hapo na mimi kunipa utata maana nyimbo zilizoimbwa cku ya kifo chake na utaratibu ulikuwa ni za gospel ikiwemo "soon and very soon"...sina uhakika kama mashahidi wa yehova huwa wanaagaNa kwanini maiti yake haikuoneshwa au kufunuliwa kipindi cha kuagwa kama wafantavyo wakiristo wengine?
kuna mda alisema kuna consipiracy bt he wont say more, je hii haiwezi kuwa about secret societ?
MJ alikuwa na hela n power alikuwa nayo kwa watu, da qn is nan ambaye amekuwa tishio kwake hadi kumfanya MJ aogope kula, kwenda hosp kuhofia kupewa sumu? Hao ni wakina nan ambao kila sehem wapo?

hapo na mimi kunipa utata maana nyimbo zilizoimbwa cku ya kifo chake na utaratibu ulikuwa ni za gospel ikiwemo "soon and very soon"...sina uhakika kama mashahidi wa yehova huwa wanaaga
Hawa jamaaa wqkitaka kukupoteza kwanza wanaharibu image yako kwa kukupikia kesi n etc, mfano mzuri mfatilie DMX after kuokoka na kurudi kwa Mungu, huku akisema whats real goin on katika music industry, wakaanza kumpikia kesi wqkafanikiwa kumkamata. They fail to kill him, mfatilie huyo. Whenever unapojaribu kusema ukweli wanakupa onyo n kesi kama hizo. Kuonyesha how powerful they are. Fatilia DMX iwe kama kesi studySababu ni racism, Michael si mara moja wala mbili.amesema kuhusu racism katika muziki
Nataka nikwambie sio wazungu wote walikubaliana na mtu mweusi japokuwa alikuja kuwa mweupe kuwa Megastar wa dunia, Michael jackson alikuja kuvunja record za wazungu wote waliokuwa wanaonekana Miungu watu kama Elvis presley na kundi la The Beatles hivyo basi kwa namna yeyote hao waeupe walitaka kumshusha.
Kama.unakifahamu kibao cha "They dont care about us" Michael alisema yote humo pia zile kesi zote walizokuwa wakimmbambika ilikuwa njia ya kumshusha Michael...maelezo zaidi tafuta video Youtube cku walipokuja kumfanyia upelelezi Michael utaona anasema yote
They you are, white n kkk bado wanamin kuwa white ni superior wa blacks, hawakuta mtu akithink about king of pop n msaniii mkubwa wapate picha ya black. So walicho fanya ni kujaribu kumshusha kwa nguvu zote, waliposhndwa ndo wakatumia wataalam kum inject vitu na kumfanye awe vitiligo( ikamfanya MJ) ajichange.you can not judge who were they.sababu seems MJ was having conflict of interests with number of people.angalia kuhusu isue za kulawiti watoto, even after his death still someone claimed that MJ alimlawiti!so no body can claim that MJ pointed secret societies directy
Hawa jamaaa wqkitaka kukupoteza kwanza wanaharibu image yako kwa kukupikia kesi n etc, mfano mzuri mfatilie DMX after kuokoka na kurudi kwa Mungu, huku akisema whats real goin on katika music industry, wakaanza kumpikia kesi wqkafanikiwa kumkamata. They fail to kill him, mfatilie huyo. Whenever unapojaribu kusema ukweli wanakupa onyo n kesi kama hizo. Kuonyesha how powerful they are. Fatilia DMX iwe kama kesi study
They you are, white n kkk bado wanamin kuwa white ni superior wa blacks, hawakuta mtu akithink about king of pop n msaniii mkubwa wapate picha ya black. So walicho fanya ni kujaribu kumshusha kwa nguvu zote, waliposhndwa ndo wakatumia wataalam kum inject vitu na kumfanye awe vitiligo( ikamfanya MJ) ajichange.
Tukirud katik nyimbo zake, mara nyingi alionyesha wazi wazi kuwa akisema they anarefer illuminat , how :what:
ni kwa ku show symbol zao na ku zi destroy katk nyimbo ya they dont care about us amesema mengi n kulikuwa na symbols nying za illuminat...
Then i think video watu wanayoihusisha sana na secret society isue ni blak n white sio they dont care about us.coz when you listen to they dont care about us he is talking abt humiliatn.but all in all MJ himself he never said out who are they so people are just guessing coz they thnk behind every successful human being lies secret society ,a formula which is not exactly applicable in all situations like MJ situation
ahaha mnanichekesha sana , nawaomba mkasome historia ya klux klan kwanza halafu utaona ukweli upo wapi, Michael jackson pamoja na kubadilika rangi yake bado alikuwa anabaguliwa na wazungu kama kawaida..
ukitaka maelezo sahihi tafuta video Youtube Michael alikuwa akimuongelea jinsi gani manager wa Sony Music "Tony" alivyokuwa akiwabagua na kuwatumia vibaya wasanii weusi ikiwemo yeye...hapa utaona hayo mambo ya KKK ni uzushi wa kipuuzi usiofaa hata kusikilizwa
Sababu ni racism, Michael si mara moja wala mbili.amesema kuhusu racism katika muziki
Nataka nikwambie sio wazungu wote walikubaliana na mtu mweusi japokuwa alikuja kuwa mweupe kuwa Megastar wa dunia, Michael jackson alikuja kuvunja record za wazungu wote waliokuwa wanaonekana Miungu watu kama Elvis presley na kundi la The Beatles hivyo basi kwa namna yeyote hao waeupe walitaka kumshusha.
Kama.unakifahamu kibao cha "They dont care about us" Michael alisema yote humo pia zile kesi zote walizokuwa wakimmbambika ilikuwa njia ya kumshusha Michael...maelezo zaidi tafuta video Youtube cku walipokuja kumfanyia upelelezi Michael utaona anasema yote
Umeangali official video yake??
Tony madola alikuwa manger wa SONY .Na kama unakumbuka 2008 miezi michache akiwa Los Angeles kabla ya tamasha lake kule london MJ alimtukana huyu manager kwa kusema "TONY MADOLA
IS DEVIL " na ikumbukwe kuwa jamaa walikuwa wameshaanza kumtia shaka kuhusiana na kwende kinyume na maadili yao hasa swala la KUSLIM japo mim mwenyew sina uhakika na hilo.
Sasa swala la kumtukana menager wa SONY hadharan ilikuwa ni sawa na mtu kumtukana mama yako mbele yako. jamaa wakawa hawana jinsi zaidi ya kummaliza kupitia daktaria wake mwenyewe CONRAD MURRAY kwa kumpiga sindano ya nusu kaputi pamoja na muscle relaxant /sedative hypnotic ...BENZODIAZEPINES and PROPOFOL .jamaa akapata CARDIAC ARREST then akawa amefariki.
PROPOFOL / Diphenol Isopropyl Intravenous Anesthesia ( DIPRIVAN )this is typically general anesthetic agent used for induction and maintanace .
Ikumbukwe pia MJ alikuwa na ka ugonjwa ka maumivu kwa hiyo jamaa hiyo dawa DIPRIVAN alipewa eti kama dawa ya MAUMIVU hii ni kwa mujibu wa daktari wake Dr. CONRAD Murray . DIPRIVAN sio dawa ya maumivu (PAIN KILLER)
kwa hiyo kifo cha MJ sio cha bahati mbaya kilipangwa kwa kupewa hiyo dawa DIPRIVAN katika dose kubwa ambayo inakuwa kama SUMU na kummalizia na hiyo ya kumlaza , kumtuliza na kumlewesha BDZ ili asipige kelele .jamaa wana nguvu ya kufanya lolote wawezalo kwa sasa jamaa alishaachiliwa yupo huru .
Ni mpumbavu pekee atakaye kataa kuwa MJ hakuwa memba of secret societ .

nimeangalia they dont care about us official video pia na they dont care about us official prison version ,so is why i said its not this song instead it is the black and white song
Check content ya video yake, na si lyrics u wil find kitu. Pia humatalian na other org unajua zipo under nan??
I always watch videos and not reading lyrics only