Niulize chochote kuhusu Lushoto

Status
Not open for further replies.
Naomba unieleweshe kuhusu sehem inaitwa ikuru
 
Mandingo ulisoma Gambian nini?

mkuu nilipiga lwandai ila likizo zikawa lushoto twn!Gambia aka magamba walikua washkaji zangu akina medi hazali,oliva(jamaa wa vurugu sana),olotu,mansa musa na wengi tu...
 
Last edited by a moderator:
Kuna jambo hamjaligusia kama inavyojulikana kwa tanga mjini mgeni yyte aliyefika lushoto harud leo mara nyingi makanbila mengi waliofika pale kwa kuajiriwa hununua viwanja na kuufanya mji huu kuwa mother land yao asiyejua lushoto pia hujulikana kama switzealand of africa kwan wagen kutoka ulaya ndio wamejaa mjini kwa matembez kuliko wasambaa wenyewe na pia ina hoteli za nyota tano na zenye mandhari za kuvutia zilizozungukwa na uoto wa asili kushinda hata baadhi ya mikoa mikubwa nna mengi sana ya kufunguka kuhusu lushoto ngoja kwnza nkachek mechi...
 

Mkuu Una enda kucheki game ya jegestali vs kwembago au cecapu vs shume?
 

hahahaaa pamoja kiongozi kumbe na wewe ulisimuliwa tu kwamba ni bonge la ikulu au wagosi wa Nyerere walichomoa kende na camera ikapondwapondwa teh teh teh hata hivyo nimekuelewa itabidi nifuate utaratibu nikaione.
 
Kijana unatoa mambo nusunusu kwanini? Makabila ya Lushoto ni mengi baadhi ni Wasambaa, Wabondei, Wapare, nk hivyo ukisema wenyeji ni kabila moja tu sikubaliani na wewe

Mh lushoto na wapare wap na wapi tena! Wapare kwao si Kilimanjaro jama

Wenyewe ni wasambaa tuu labda km wahamiaji ntakubali
 
Sisi wa Enzi hizo hivi lile disco letu green valley na hub club yapo?totoz za mazinde juu,kifungilo,shambalai,kongei gonga sana zile Enzi izo na mhuni mmoja alikua kinyozi sijui bado Suma yupo jamani???

Green Valley ilishakufa, The Hub Club kwa mark nafikiri bado ipo maana sijakanyaga Lushoto mwaka sasa
 
Upande wa soccer lilikuapo chama langu Bange boys yaan team ilikua ina chekesha hiyo nakumbuka kuliwai tokea tifu adi ikafungiwa na huo ukawa mwisho wake.

Unamjua Carlos?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…