Niulize chochote kuhusu Lushoto

Status
Not open for further replies.
Nasikia ukioa Msambaa wa Lushoto ndoa haijunjiki.
hafu ni kweli wanawake wenu wanatahiriwa wakati wa kuzaa mtt wa kwanza ?

wasambaa hawajifichi utawajua kwa maneno yao na maandishi yao
 
Nimecheka sana kuona majirani zangu wanavyopiga zumari hapa......
 
Akili yako ndogo sana unavyojiona kukaa Sinza ndo kukufanye usijue kutongoza! Kama huwezi haijalishi unakaa wapi hata kama ukikaa Buguruni, au uwanja wa fisi huwezi huwezi tu

Kipara mseng.e heh. jina gani hilo. Wewe unafikiri kama sio sisi tusio jua kutongoza hao dada zako wasio kua na ajira tunao wapa elfu mbili mbili kwa bao wangekula wapi ? Nitongoze waqt nina hela ? wasio na hela ndio wanaojua kuimbisha. Kwa taarifa yako wenye hela wote hawajui kutongoza ndio maana vyangu doa wengi wapo masaki na ohio na oysterbay
 
Kijana unatoa mambo nusunusu kwanini? Makabila ya Lushoto ni mengi baadhi ni Wasambaa, Wabondei, Wapare, nk hivyo ukisema wenyeji ni kabila moja tu sikubaliani na wewe

Wasambaa ni mchanganiko wa makabila mbali mbali wakiwemo wambugu, wazigua, wapare, wabondei, walugulu, wataita wa Kenya, wadigo, wachaga nk
 

Irente ni eneo lenye hôtel nyingi ikiwemo ya mkapa ila si kwamba mkapa anamili irente, hâta wewe kama unataka kiwanja irente unapata ila vimevamiwa sana na wahindi asaiv
 
mnanikumbusha enzi zangu vitongoji coast mabugai malay camp dochi bado vipo ?
 
Huu uzi mbona hamuutendei haki wana lushoto???

Badala ya kuiuza lushoto yenu mnabaki kukumbushana maeneo na watu,sisi tusio wa lushoto vitatusaidia nini hivyo.

Haya mnaoijua lushoto kaeni kimya na msaidie kujibu pale muanzisha uzi atakapochemka.

Niliambiwa kuwa wazungu waliacha breed nzuri sana za mbwa huko,je ni zipi hizo zinazopatikana kwa wingi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…