Niulize chochote kuhusu Kilimanjaro

Niulize chochote kuhusu Kilimanjaro

Hayo mambo kila jamii yapo, sema pengine unaweza kuona jambo hilo liko sana kutokana na wewe huenda ukawa mmoja wa hiyo jamii. Lakini kama ungekuwa wakutoka jamii nyingine vilevile ungesema hata jamii yako kuna mambo kama hayohayo
Ni kweli ila si kwa kiwango cha mkoa wa Kilimanjaro, na sababu nyingine umeuliza kuhusu mkoa huo na siyo mingine.
 
Back
Top Bottom