Niulize chochote kuhusu Kilimanjaro

Niulize chochote kuhusu Kilimanjaro

The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2019
Posts
4,214
Reaction score
6,348
Habari zenu wanajamii,

Lengo la mimi kufungua huu uzi ni kutaka kuwaunganisha watu wote, kutoka maeno mbalimbali, nje na ndani ya mkoa Kilimanjaro

Hivyo basi ikiwa unataka au unatamani kuuliza kuhusu kupanda mlima Kilimanjaro, wataka kujua kuhusu utamaduni, mila ana desturi ya wa watu watokao mkoa huo, (Kilimanjaro) au pengine wahitaji huduma itolewayo au ipatikanayo mkoa wa Kilimanjaro na hujui wawezaje ipata. Kupitia uzi huu ni mahala sahihi kupata yote ujiulizayo kuhusu au kuihusu mkoa huu wa Kilimanjaro

Hivyo basi wahitajika ufanye nini?
Kuuliza swali:
Reply post hii kwakuuliza swali au kuomba ufafanuzi juu ya jambo fulani kwaufupi (gharama yakuapanda mlima kwamtu mmoja ni shilingi ngapi?)

kujibu swali: tafuta comment hii kwakui reply kwa maoni, ushauri au mapendekezo

Tutumie uzi huu kwaku share maarifa mbalimbali kwa wale wote wenye uhitaji.

Mfano wa swali langu nalotaka kujua majibu au maoni yake (Ikiwa nataka nunua shamba la heka 10 mkoa wa kilimanjaro maeneo ya ndani ndani sehemu yeyote naweza kupata kwa shilingi ngapi?)

Mshana Jr
Mamndenyi
Moderator tafadhalini sana.
 
Hizi nyuzi za kubaguana kiukanda ndo tulishazikataa....acheni mambo ya kibaguzi ninyi wapuuzi.
 
Nyie akina Afande Tesha mnataka kukinukisha hadi humu Jf?!
 
Subirini Christmas muende kwenu mkatambike, huko ndo mtadiscuss kuhusu mambo yenu..!!

Hapa hatutaki ukabila
 
Je mademu wakichaga bado wanasema Yesuu wakati unaingiza mtalimbo?????
 
Habari zenu wanajamii,

Lengo la mimi kufungua huu uzi ni kutaka kuwaunganisha watu wote, kutoka maeno mbalimbali, nje na ndani ya mkoa Kilimanjaro

Hivyo basi ikiwa unataka au unatamani kuuliza kuhusu kupanda mlima Kilimanjaro, wataka kujua kuhusu utamaduni, mila ana desturi ya wa watu watokao mkoa huo, (Kilimanjaro) au pengine wahitaji huduma itolewayo au ipatikanayo mkoa wa Kilimanjaro na hujui wawezaje ipata. Kupitia uzi huu ni mahala sahihi kupata yote ujiulizayo kuhusu au kuihusu mkoa huu wa Kilimanjaro

Hivyo basi wahitajika ufanye nini?
Kuuliza swali:
Reply post hii kwakuuliza swali au kuomba ufafanuzi juu ya jambo fulani kwaufupi (gharama yakuapanda mlima kwamtu mmoja ni shilingi ngapi?)

kujibu swali: tafuta comment hii kwakui reply kwa maoni, ushauri au mapendekezo

Tutumie uzi huu kwaku share maarifa mbalimbali kwa wale wote wenye uhitaji.

Mfano wa swali langu nalotaka kujua majibu au maoni yake (Ikiwa nataka nunua shamba la heka 10 mkoa wa kilimanjaro maeneo ya ndani ndani sehemu yeyote naweza kupata kwa shilingi ngapi?)

Mshana Jr
Mamndenyi
Moderator tafadhalini sana.
Ni kweli kuwa watu wa kilimanjaro walio wengi japo si wote ni wakabila, wachoyo, wapenda ngono na pombe kiasi cha watu kujamiiana na dada, shangazi, wajomba na baba wadogo hasa wakati wa krimas 'wadumishapo mila'?
 
Kwa mtu wa hali ya chini kupanda mlima Kilimanjaro inagharimu kiasi gani
 
Ni kweli kuwa watu wa kilimanjaro walio wengi japo si wote ni wakabila, wachoyo, wapenda ngono na pombe kiasi cha watu kujamiiana na dada, shangazi, wajomba na baba wadogo hasa wakati wa krimas 'wadumishapo mila'?
Hayo mambo kila jamii yapo, sema pengine unaweza kuona jambo hilo liko sana kutokana na wewe huenda ukawa mmoja wa hiyo jamii. Lakini kama ungekuwa wakutoka jamii nyingine vilevile ungesema hata jamii yako kuna mambo kama hayohayo
 
Back
Top Bottom