Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
- Thread starter
-
- #61
kwani possible loan ktk hiki chuo ni how much? mbn kama gharama nyng ,mara hostels!
kwanin mkuu watu bize sana nin
Ubize na Coet utasemaje sasa, uoga wa watu na ushamba tu watu wanakomaa utafikiri kaja shule ya boarding, then hakuna events za kuwatoa watu nje ya chuo "mabash" kwa mtakaokuja Duce mtayasikia kwenye bomba tu.
naomba nikuulize mkuu kwa uzoefu wako hapo Duce kuna wanafunzi ambao hawana mkopo kabisa ambao hata secondary walisoma shule za kata
Mtoa mada (student teacher) naomba ntafute kwenye 0714188643 nna mchongo mzito.
naomba nikuulize mkuu kwa uzoefu wako hapo Duce kuna wanafunzi ambao hawana mkopo kabisa ambao hata secondary walisoma shule za kata
Ni chuo changu but kipo kushoto xana, unaweza kuja ukaondoka bila hata kujua posta...ushamba mwingi, uongozi wa kupupet kushobokea admn, dean of student ndio majanga anajifanya kuwa na power zaidi ya Mukandara...mliochagua njooni but lazima mjue hayo.
hivi DUCE ndo nn? mm najua UDOM na UDSM
Dr yupo tena kwa makali yale yale. kuhusu masters kwa sasa haipo lln kwa taarifa nilizo nazo wanaweza kuanza this academic year
uu Uzi haukuhusu sasa
tukiwaambia ccm haifai mnaona tuna majungu leo walioko vyuoni hawana mikopo afu mnaambiwa matatizo ya mikopo yataisha mnashangilia push up tu taifa la hovyo hili
mkuu naomba kufahamu uwezekano kwa first year kuishi nje ya hostel, vipi kuhusu gharama za pango per month/semister etc etc
Gharama za pango nje ya Chuo ni za unafuu wa kutosha kutomuumiza mwanafunzi. Kwa mwezi ni kati ya sh. 30000 hadi 50000. Bahati iliyopo ni kuwa maeneo ya Keko, Taifa na vitongoji vyake havina shida ya maji kabisa ukilinganisha na maeneo mengine ya jiji. Ukikosa hostel ndani usiumie, we jipange tu kukaa nje ambapo hakuna tatizo lolote.
Ni kweli kuwa watu wa DUCE wana hofu sana shule, muda mwingi hupenda kukaa vimbwetani hata kama hawana shughuli ya muhimu. Hasara wanayaoipata kwa kufanya hivyo ni kutopata uzoefu wa maisha ya jiji. Kwa wanaokaa hostel za ndani ndo hupata athari zaidi maana wao huishi kama vile ni form 7. Wamalizapo chuo hawana plan yoyote zaidi ya kurudi nyumbani kusubiria baraka za Mola ziwape mema. Pili watu wa DUCE ni wasomaji sana wa madaftari ya notes, hawana muda wa kutumia mtandao wala PC, nadhani ndo chuo ambacho kinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi wasiojua kutumia kompyuta. Kwa mwaka mnaoanza kuna mazuri yaliyopo DUCE kama vile uungwana katika mavazi, uzingatiaji wa dini na uaminifu katika mahusiano, hizo ndo tunu za DUCE mzifuate mnufaike. Masomo zingatia sana hakikisha unapambana GPA yako iwe juu ya 3.5. Tembea mjini ujue k/koo, posta, mwenge, kurasini, k/ndoni. Husiana na marafiki nje ya wanafunzi ili uwe na picha nzuri ya maisha. KARIBUNI DUCE, KISIWA CHA USTAARABU.
Gharama za pango nje ya Chuo ni za unafuu wa kutosha kutomuumiza mwanafunzi. Kwa mwezi ni kati ya sh. 30000 hadi 50000. Bahati iliyopo ni kuwa maeneo ya Keko, Taifa na vitongoji vyake havina shida ya maji kabisa ukilinganisha na maeneo mengine ya jiji. Ukikosa hostel ndani usiumie, we jipange tu kukaa nje ambapo hakuna tatizo lolote.
shukrani sana mkuu.. vipi kuhusu ratiba ya chuo kwa semister/wiki/siku ikoje? vipi kuhusu internet access ku8na WI-FI hapo?? na huduma za stationary zipo jirani na ni affordable? thanks in advance